Jinsi mitandao ya kijamii inavyoongeza wagonjwa wa akili

Jinsi mitandao ya kijamii inavyoongeza wagonjwa wa akili

ankol

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
2,355
Reaction score
4,260
Leo tuachane na mambo ya kubeti na kamala nyinginezo za mtandaoni zinavyopoteza nguvu kazi kubwa ya taifa na kuifanya iwe tegemezi.

Tuuangalie mtandao wa tiktok nao pia unachangia pakubwa kuongeza idadi ya vijana wanaopatwa ulemavu wa akili haswa dada zetu.

Wadada wengi wanashindwa kufanya kazi za kuwaingizia kipato halali badala yake wamekua wakishinda na kulala huko tik tok live mchana na usiku ukiwafuatilia hakuna cha mana wakofanyacho zaidi ya kupoteza muda tu na kuomba gift na roses,
Nakiona kizazi kikiangamia ni swala la muda tu.

Ukimuuliza mdada anafanya kazi gani atakujibu anafanya online business ukimuuliza unauza nini hakujibu.
 
Yote hayo yamesababishwa na hawa viumbe

20240319_163514.jpg


KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Psychological social proof is real
 
Sasa na na wewe kwanini uwafuatilie usiku kucha Huko online?😂Yaan unashindwa kulala usiku kwasababu ya huo ujinga?
 
Kuna wengine tunashinda Jf...ni mwendo wa kulike na kukoment
Ila sisi tunajenga taifa si ety🥴🥴🥴
 
Back
Top Bottom