yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,927
- 4,199
Wewe ndo una shida hapo stand mawakala wote wa Tigo hawakua na Pesa?Jana baada ya kupatwa na safari ya ghafla kuelekea mkoani, nikafika stend wakati hela yangu ipo kwenye simu. Nikaenda kutoa hela kwa bahati mbaya mawakala hawakuwa na cash, nikaingia duka moja nikakuta ana azam pesa. Nikahamisha hela yangu kutoka Yas / Tigo kwenda Azam.
La haula!!.. Kumbe lilikuwa kosa kubwa sana,. hela ikatoka kwenye akaunti ya tigo ila kwenye azam haikufika. Nikiwapigia tigo wananiambia nisubiri masaa 72.. 😭😭😭😭
Ukizingatia safari yangu ya dharula, kila kitu kimeharibika nimechanganyikiwa. Si bora wangenitahadharisha kuwa kuna tatizo la kiufundi au mtandao wakati nataka kufanya muamala!!!
Naomba hela yangu iingie nifanye maamuzi sahihi kama naendelea kutumia huu mtandao au naachana nao.
ILA OMBA YASIKUKUTE
Lakini si walitangaza kua kwa siku3 kutakua na maboresho hivo huduma Zita sitishwa au!?Huduma za fedha za kidigitali kwa Tanzania bado SANA. Jitahidi kuwa na cash. CRDB siku tatu hakuna huduma efi wanafanya maboresho
Kwa dunia ya leo... HahahahaLakini si walitangaza kua kwa siku3 kutakua na maboresho hivo huduma Zita sitishwa au!?
Mambo ya dijitali sio !siku nyingine nenda duka lolote wanalouza nguo, supermarket nk. Waombe kibinadamu umwekee hela kwa lipa yake akupe cash..
Weka 102,000 akupe 100,000
Mambo ya hela yakisha husisha mtandao zaidi ya mmoja lazima pawe na kausumbufu
Hiyo mbinu uwa natumia sanasiku nyingine nenda duka lolote wanalouza nguo, supermarket nk. Waombe kibinadamu umwekee hela kwa lipa yake akupe cash..
Weka 102,000 akupe 100,000
Mambo ya hela yakisha husisha mtandao zaidi ya mmoja lazima pawe na kausumbufu
Hakika..Mambo ya dijitali sio !
Habari Kiongozi,hii inakuwaje ninaomba ufahamu zaidi ni tofauti na kuweka m-pesa ya kawaida? Naomba elimu tafafhalisiku nyingine nenda duka lolote wanalouza nguo, supermarket nk. Waombe kibinadamu umwekee hela kwa lipa yake akupe cash..
Weka 102,000 akupe 100,000
Mambo ya hela yakisha husisha mtandao zaidi ya mmoja lazima pawe na kausumbufu