Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
za wanaume ndugu mganga mfawidhi BujibujiNguvu za kiume za Nani?
😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
za wanaume ndugu mganga mfawidhi BujibujiNguvu za kiume za Nani?
Mimi ninazo nguvu za kiume za kwangu tu na siazimishi.za wanaume ndugu mganga mfawidhi Bujibuji
😂😂😂
Unawashwa kichizi, ukijikuna dagaa wanadondokaMkuu si ungewaambia wakupe mikoba ila wakuache uendelee kutokwa na dagaa upige pesa[emoji1787][emoji1787]
Haha haha hahahMkuu si ungewaambia wakupe mikoba ila wakuache uendelee kutokwa na dagaa upige pesa[emoji1787][emoji1787]
Jamaa mpigajiMjini pagumu sana, Ahsante kwa taarifa...
MapachaHuyu ni ndugu yake mshana jr
Haha hahah hahaUnawashwa kichizi, ukijikuna dagaa wanadondoka
Unacheka ehhhHaha hahah haha
Niangalizie CCM huko wana shida gani wakati serikali nzima ni yao! Mbona wanatunyanyasa hivi?Kama una shida yako ninauwezo wa kukuangalia.
Hapa ndio utajua haujui kila mtu anakutafsiri anavyojua yeyeID yako na thread zako haziendani kabisa.
ID yako inaonesha wewe ni mtu mzito sana..... TUENDELEE
🤣🤣🤣🤣Niko kimya macho yamenitoka kama yule waziri wa majalalani.