Jinsi Mkwawa alivyosalitiwa na mtu aliyemuamini

Isike alikua akili nyingi,anasikiliza zaidi kuliko kuongea
 
Kwa hiyo kumbe Mtaki hakuwa msaliti bali alikuwa mafia wa Isike!?.
 
Maelezo mazuri ila history hii ina sehem tofaut tofaut.wengine wanasema mkwawa alizungukwq na kuvamiwa kutokea vilima vya kama unatokea tosa,na yeye akakimbilia kikongoma huko akaendesha vita kwa muda mrefu mpaka siku alibaki na watumish wake wawil akawatuma wakaokote kuni ndio mmoja akashikwa wakat anaenda kuwaonyesha alipo ndipo wakasikia puuu mlio kufika mkwawa kajilipua.yule aliyebak akakamatwa.wajeruman wakakakata kichwa na kurudisha kalenga.wazee wakatambua kuwa kweli huyu ni mtwa.ndio kichwa kikapelekwa germany. Story nzuri yako ila ndio hivo narratives zipo nying
 
Aisee!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…