Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wenye uzoefu wa mchakato mzimaHebu wenye uzoefu tupeane mawazo jinsi mtanzania aliyeko Tanzania anavyoweza ku "self publish" kwenye mitandao kama Create space, Lulu.com nakadhalika au kuuza kitu kwenye mitandao kama Amazon.
Nimeipenda hii mkuu, hebu tiririka zaidi kwa upande wa Amazon pia.Okay iko hivi kwanza inabidi ujue kitabu unachotaka ku publish ni size gan either 5X8 au zaidi.
Baada ya hapo (kwa create space). Ingia katika web yao tafta template ya kitabu husika kisha copy na paste kitabu chako katika template hiyo.
Mind you template ziko za aina mbili kuna yenye maneno na iliyo blank. chukuwa yenye mamneno. Onyo usijaribu kubadilisha font wala font size.
baada ya hapo endelea. na kama huna cover page kuna free cover page. na kama huna ISBN ipo wanakupa wao.
kisha panga bei ya kitabu chako.
proof read
kisha BOOOOOM baada ya 24hrs
kitabu kiko sokoni.
ni jitihada zako wewe kukipigia promo. wao wanahakikisha kitabu kimewafikia watu 1M
make sure kitabu kiko edited vizuri
make sure kitabu kina cover nzuri (Maana hawa watu milioni moja wataona cover tu ya kitabu ikiwavutia ndo watanunua)
haya ni maelezo ya summary tu wadau
kila la kheri ila huu ujasiliamali wa kitaaluma unalipa sana jamani
Good insight... Unaweza fafanua inalipa kwa mamba gani bossOkay iko hivi kwanza inabidi ujue kitabu unachotaka ku publish ni size gan either 5X8 au zaidi.
Baada ya hapo (kwa create space). Ingia katika web yao tafta template ya kitabu husika kisha copy na paste kitabu chako katika template hiyo.
Mind you template ziko za aina mbili kuna yenye maneno na iliyo blank. chukuwa yenye mamneno. Onyo usijaribu kubadilisha font wala font size.
baada ya hapo endelea. na kama huna cover page kuna free cover page. na kama huna ISBN ipo wanakupa wao.
kisha panga bei ya kitabu chako.
proof read
kisha BOOOOOM baada ya 24hrs
kitabu kiko sokoni.
ni jitihada zako wewe kukipigia promo. wao wanahakikisha kitabu kimewafikia watu 1M
make sure kitabu kiko edited vizuri
make sure kitabu kina cover nzuri (Maana hawa watu milioni moja wataona cover tu ya kitabu ikiwavutia ndo watanunua)
haya ni maelezo ya summary tu wadau
kila la kheri ila huu ujasiliamali wa kitaaluma unalipa sana jamani
Nimeipenda hii mkuu, hebu tiririka zaidi kwa upande wa Amazon pia.
chondechonde weka uzi mpyaa mkuuKakak maelezo ni marefu mnoo mnoo sasa ila kwa kifupi ni kuwa uki publish kitabu create space au Lulu kitauza na Amazon pia.
cha muhimu edit kitabu vizuri na tafta cover zuri la kitabu. mimi kitabu changu cha kwanza niliself publish niliuza kopi 1500+ kwa bei ya $4 you can imagine hela iko nje nje ila kuna namna za kuki market kitabu chako nk.
mambo ni mengi sana kuelezea hapa labda niweke uzi kabisaa mpyaa
Okay iko hivi kwanza inabidi ujue kitabu unachotaka ku publish ni size gan either 5X8 au zaidi.
Baada ya hapo (kwa create space). Ingia katika web yao tafta template ya kitabu husika kisha copy na paste kitabu chako katika template hiyo.
Mind you template ziko za aina mbili kuna yenye maneno na iliyo blank. chukuwa yenye mamneno. Onyo usijaribu kubadilisha font wala font size.
baada ya hapo endelea. na kama huna cover page kuna free cover page. na kama huna ISBN ipo wanakupa wao.
kisha panga bei ya kitabu chako.
proof read
kisha BOOOOOM baada ya 24hrs
kitabu kiko sokoni.
ni jitihada zako wewe kukipigia promo. wao wanahakikisha kitabu kimewafikia watu 1M
make sure kitabu kiko edited vizuri
make sure kitabu kina cover nzuri (Maana hawa watu milioni moja wataona cover tu ya kitabu ikiwavutia ndo watanunua)
haya ni maelezo ya summary tu wadau
kila la kheri ila huu ujasiliamali wa kitaaluma unalipa sana jamani
Malipo unalipwaje mkuu maana bank account zetu chenga na hawakubali paypalKakak maelezo ni marefu mnoo mnoo sasa ila kwa kifupi ni kuwa uki publish kitabu create space au Lulu kitauza na Amazon pia.