Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Kwa jinsi dalili zinavyoonesha na mengine yanayo fanywa.
Nimekumbuka muungano wa Afrika mashariki ulivyovunjika na kujikuta vitu vyote vilikwenda kenya.
Kwa ili linavyoendelea kiufupi yaliyofanywa na mkija kumshataki itakuwa ni nchi nyengine na raia mwengine sio wa nchi ya muungano.
Pia soma Muungano wa changu changu, ila chako changu hauwezi kudumu