Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 Jun 17, 2026 #1 Kwa jinsi dalili zinavyoonesha na mengine yanayo fanywa. Nimekumbuka muungano wa Afrika mashariki ulivyovunjika na kujikuta vitu vyote vilikwenda kenya. Kwa ili linavyoendelea kiufupi yaliyofanywa na mkija kumshataki itakuwa ni nchi nyengine na raia mwengine sio wa nchi ya muungano. Pia soma Muungano wa changu changu, ila chako changu hauwezi kudumu
Kwa jinsi dalili zinavyoonesha na mengine yanayo fanywa. Nimekumbuka muungano wa Afrika mashariki ulivyovunjika na kujikuta vitu vyote vilikwenda kenya. Kwa ili linavyoendelea kiufupi yaliyofanywa na mkija kumshataki itakuwa ni nchi nyengine na raia mwengine sio wa nchi ya muungano. Pia soma Muungano wa changu changu, ila chako changu hauwezi kudumu
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,625 Reaction score 89,385 Jun 17, 2026 #2 Kwa Bara an zenji ni ngumu na ikiwezekana basi watu baadhi watapitia maumivu
Mtili wandu JF-Expert Member Joined Dec 15, 2012 Posts 11,047 Reaction score 16,378 Jun 17, 2026 #3 Nawaza yale meno ya tembo yaliyoonyeshwa kwenye royal tour si zenji pale yaani yabaki kule uuwiiiiii.
Nawaza yale meno ya tembo yaliyoonyeshwa kwenye royal tour si zenji pale yaani yabaki kule uuwiiiiii.
Marcostilone JF-Expert Member Joined Jun 25, 2023 Posts 7,018 Reaction score 17,932 Jun 17, 2026 #4 Ni kwa sababu Zanzibar haina nguvu ya kiuchumi inayolingana na Tanganyika.