Jinsi mwajiriwa anavyoweza kujenga utajiri kwa kumiliki nyumba za kupangisha zenye kipato kikubwa

Mkuu hii nadharia ya uwekezaji kwenye nyumba za kupangisha sidhani kama ni sahihi kudhani ni ujenzi wa nyumba za kupangisha kama nimemwelewa mtoa mada. Hii ni Real estate business Mr. Bujibuji una nyumba zako tano tunaingia makubaliano ya usimamizi wa upangishwaji wa hizi nyumba kwa kila nyumba ikipata mteja wa kuipangisha napata commission ya 20% per year au nakulipa amount cash per year nakuwa na temporary ownership mi natafuta wapangaji wangu kwa bei nzuri zaidi nakula faida kwa makubaliano kwamba nitafanya improvement ku add value kila mwaka... una viwanja unauza mi navihodhi kwa makubaliano kuwa kila square meter nakupa 75% ya bei natakayo uza au nakupa fixed price mi najua nitauzaje. Hiki ndio nilichoelewa mimi. Sio kujenga
 
 
Ukiweza kujenga nyumba mbili ambazo zinaweza kugharimu zaidi ya milioni 40 kila moja na kuzipangisha unaweza kutoboa hasa kwa jiji Kama la Dar Es Salaam ambapo kwa maeneo ya kawaida chumba ni 40,000/=, hapo unatakiwa utumie akili kubwa sana kufanikisha. Ni uwekezaji mzuri hasa jiji la Dar Es Salaam uhitaji wa vyumba ni mkubwa, kikubwa uwe na ardhi Kwanza.
 
Hapa upate eneo lililo changamka kiwanja kinaanzia milioni 15. Kama unataka nyumba ya kupangisha jitahidi ramani iwe simple lakini usinunue vifaa vya gharama nafuu vitakugharimi kufanya matengenezo kila mara.
 
Hizo reports kuhusu majengo ya kupangisha zinapatikana wapi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…