Jinsi mwanamuziki Salum Abdallah alivyopoteza maisha kwa majeraha ya ajali

Dah kifo cha jabali la muziki Marijani Rajabu kilihitimisha muziki wenye mafunzo na ushauri kwa vijana, wazee na watanzania wa rika zote.
 
Huwaga sipati logic ya mwanamuziki kumuua mwanamuziki wa kundi jingine kwa sababu ya ushindani.


Plus hapo kwa kanumba hebu toa ufafanuzi kidogo
 
Mbaraka alimuonesha juma kilaza kuwa yeye ni kilaza kwa kumchapa na lile song la Jogoo la shamba haliwiki mjini. Pambano likawa limeishia hapo.
 
Dah kifo cha jabali la muziki Marijani Rajabu kilihitimisha muziki wenye mafunzo na ushauri kwa vijana, wazee na watanzania wa rika zote.
Mimi nikiwa mtangazaji wa RTD, nili cover msiba wa Jabali la Muziki, Marijani Rajabu, ile 1994 nikatengeneza a 30 min radio documentary ya Marijani Rajabu
Mpaka leo ipo library ya RTD. Saa hizi ninapoelekea 60 nitazi compile baadhi ya kazi zangu za zamani na kuzi digitize kuzihifadhi kidigitali.

P
 
Hangera mkuu Pascal, fanya hivyo mapema iwezekanavyo tupate kuisikia tena hiyo documentary.
 
Dah ama kwa hakika uliuthamini sana mchango wa wanamuziki wetu wakubwa. Mungu akubariki kwa hilo.
 
Hivi karibuni Saidi Athumani Makelele aliyekuwa mpiga ala ya tarumbets katika bendi ya Supet Volcano alitoa maelezo ya kusisimua juu ya Soloist national Mbaraka Mwinshehe Mwzruka nakukaribisha uayasikilize ttps://youtu.be/fbJ2OlOadnY?feature=shared
 
Mkongwe David Senyagwa mtaalamu mbobezi wa gitaa la kati asimulia safari yake ya kimuziki Cuban Marimba KZ Morogoro jazz
Super Volcano na Mzinga Troupe aliyeshudia joto la ushindani kati ya Juma Kilaza na Mbaraka. Hebu msikilize niliahidi kutoa nyimbo 4 za Mbaraka Mwinshehe zilizorudiwa upya na binti yake. Sasa zipo tayari. Kipindi cha miaka kama minne nyuma wadau wa jamii forum toka Kenya waliomba tulioko Tanzania tuwaenzi wakongwr wa muziki maoni hayo yalinigusa sana haswa kutoka kwa Mwanika Kiburi wa Kenya aliyeomba hata foundation ya Mbarka iundwe alionesha utayari wa kuunga mkono jambo hilo mimi kwa upande wangu nimejaribu nilichoweza. Juhudi zangu zimesnza kwa kwa kuwaenzi nguli Juma Kilaza na Mbaraka Mwinshehe. Wadau karibuni kuniunga mkono
View: https://youtu.be/8H3kb6lpyo8?si=nLW3roaqmccK21EF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…