Jinsi nchi za Magharibi zinavyohujumu miradi inayofanywa na Wachina barani Afrika

Kinyungu

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2008
Posts
19,484
Reaction score
38,416
Mradi wa ujenzi wa Bandari kubwa ya Bagamoyo ilikuwa uwe moja ya flagship kubwa sana ya Belt and Road ya Wachina hapa Africa. Lakini kwa sababu amabzo hazieleweki hadi leo bandari haikujengwa ingawa serikali ilishaingia harasa kullipa watu fidia.

Kwenye video fupi hapa chini jamaa anaelezea mfano wa nchi ya Africa MAgharibi na kuonesha jinsi West wanavyofanya kuhujumu miradi kama hii inayofanywa na Wachina hapa Africa.

Viongozi wetu lazima wajiongeze maana kadri tunavyotaka kujikomboa kiuchumi wao wanabuni mbinu mpya za kutuhujumu ili tusiweze kuendelea.

Your browser is not able to display this video.
 
Kwa hali hii wanaostahili kutekwa wataongezeka. Mipango michafu ya magharibi LAZIMA ikutane na wenyeji ili iweze kukamilika. Hawa wenyeji hawa lazima tuwamulike tuwajue ni akina nani hasa.
 
Kwa hali hii wanaostahili kutekwa wataongezeka. Mipango michafu ya magharibi LAZIMA ikutane na wenyeji ili iweze kukamilika. Hawa wenyeji hawa lazima tuwamulike tuwajue ni akina nani hasa.
Wanaoanza kuingizwa kingi ni viongozi na taasisi za usalama kwa ujumla hawa wagonga nyundo wanakuwa wa mwisho kabisa kwenye utekelezaji. Hata ukiwateka ni kuwaonea tu
 
Ni kupoteza muda bure kuwahujumu watu wasio na akili.
 
Kwa hali hii wanaostahili kutekwa wataongezeka. Mipango michafu ya magharibi LAZIMA ikutane na wenyeji ili iweze kukamilika. Hawa wenyeji hawa lazima tuwamulike tuwajue ni akina nani hasa.
Nani ana stahili kutekwa na kwa sababu gani ?
 
Wanaoanza kuingizwa kingi ni viongozi na taasisi za usalama kwa ujumla hawa wagonga nyundo wanakuwa wa mwisho kabisa kwenye utekelezaji. Hata ukiwateka ni kuwaonea tu
Wana ingizwa kingi na nani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…