Wakuu,
Wakati watu tunalalamikia miradi ya Wachina kuwa mingi nchini, kumbe huo ni mkakati wa Wizara ya Mambo ya Nje?
Leo nilikuwa napitia ile sera ya Mambo ya nje ya mwaka 2001, toleo la mwaka 2024 ambalo Rais Samia aliizindua hivi karibuni.
Kwenye sera hiyo, kipengele 1.2.2 page ya 6...
Mradi wa ujenzi wa Bandari kubwa ya Bagamoyo ilikuwa uwe moja ya flagship kubwa sana ya Belt and Road ya Wachina hapa Africa. Lakini kwa sababu amabzo hazieleweki hadi leo bandari haikujengwa ingawa serikali ilishaingia harasa kullipa watu fidia.
Kwenye video fupi hapa chini jamaa anaelezea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.