Kipindi cha Magufuli 2015-2020 miradi ya Serikali ya Kichina imetengeneza ajira 50,241 nchini

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Wakuu,

Wakati watu tunalalamikia miradi ya Wachina kuwa mingi nchini, kumbe huo ni mkakati wa Wizara ya Mambo ya Nje?

Leo nilikuwa napitia ile sera ya Mambo ya nje ya mwaka 2001, toleo la mwaka 2024 ambalo Rais Samia aliizindua hivi karibuni.

Kwenye sera hiyo, kipengele 1.2.2 page ya 6 inaeleza kuwa mwaka 2015 na 2020, Tanzania ilivutia miradi uwekezaji 464 kutoka Jamhuri ya Watu wa China (PRC), ambayo iliibua fursa za ajira zaidi ya 50,241 katika sekta mbalimbali

Mwenye ujuzi wa hii miradi tunaomba atujuze hapa. Hii miradi ni ipi?

Na mbona kipindi cha Magu Wachina hawakuwa wengi kama sasa hii, ina maana kwamba, kwenye toleo la mwaka 2025 na 2026 tutegemee kuona ajira zitakuwa nyingi zaidi ya hizo?

wachina.png

​
 
Attachments

Ni ngumu sana kuamini data hizo kwa sababu kuanzia miaka hiyo ya 2015 kumekuwa na upikwaji wa data na uongo ili kuwaridhisha na kuwatafutia sifa wakubwa.

Labda TIC ndiyo wamesajili hizo miradi kwenye vitabu vyao lakini huko uraiani hazionekani.
 
Back
Top Bottom