mwanazuoni mgeni
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 1,944
- 1,726
Mkuu nenda Tena ukafanye research ndo uongee sio unakuja na mihemko yako ...Mabeste wa kwenye Press play na sirudi tena unaweza kumlinganisha na Unju au Singasinga kwenye ngoma gani?
Jiandae kudondosha point tatu, hili halina mjadala.😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acheni hvyo nyie wanawake mbona huko mbugani wanyama wanaishi kwa kusaidiana mfano mzuri Simba ..kwenye mawindo Simba jike ndo anawinda zaidi ,.....Watu humu wengi sio wafuatiliajo wa mambo halafu kujikuta ujuaji. Aliyeanza kuongea ni MABESTE aanzae mmalize. Yeye kaanza kumkandia ex wife maneno kibao ofcourse hata mimi nilikua upande wake. Kuja kumsikiliza lisa nikabaki OMG najuta.
Mabeste livivu linakaa tu kutegemea mwanamke atafute. Mwanaume yuko radhi afanye kazi za nyumban ashinde na watoto lakini asitoke nje kutafuta. Huyo ni mke au mume?
Kumsaidia kipindi anaumwa sio justification ya kumnyanyasa. Kila mtu kuna mtu amemsaidia maishani mwake lakini maisha yameendelea. Dume vivu mfyuuuu. Huyo lisa alijua kumvumilia dume suruali.
hivi mzee mrangi umeoa???Kama yule boss wa uhuru 1,si alikuwa na mpunga lkn bado mke akazinguaa
Tatizo Hawa wenzetu wa dhaifu sana na wanasahau mapema
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata uwe tajiri wa namna gani watu tukiamua kumchukua mkeo tunamchukua tu, watu wanaodhani mapenzi ni pesa nawaonaga malofa sana.
.
Nakupa mifano hai Jux hana pesa za kuwa na Vanessa hana pesa za kumlidhisha Vanessa ila ulishawahi kujiuliza kwanini alikuwa nae?
Money ain't talk in love dude kinachozungumza ni u smartness and sharpness zako.
.
Anyway let's assume unapesa nyingi uko na mtoto mkali kama Mimi Mars unamuhudumia kila kitu, huko kitandani uko vizuri unfortunately anatokea gentleman tu hana pesa nyingi kama wewe ila ni smart kichwani anajua kuishi na malaya na anajua kuishi na mlokole unadhani atamkosa mkeo?
Hapa ndio nakuwa nabofya kitufe cha pause kila wazo la kuoa linapokuja kwa kichwa!
Kwakuwa alipigania afya ya mkewe ndio asifanye Kazi tena au asitafute pesa tena ili amtunze mkewe na familia yake?
mzee who knows labda kaongezea chumviMwanamke anadai mpka mahari alitoa hela yeye,hapo inaonekana mabeste ni marioo hajitumi cz huwezi shindwa nunua pete hata ya ten au kulipa mahari
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli kabisa asee unanikumbusha ile ndoa ya mbasha na mkewe dzain kama story zinafanana hvUnalosema ni kweli maana mimi haya nayaongea kwa personal experience mwanamke akikubadirikia hakuna baya ataacha kusema hata uwe ulimuokota mtaani ukambadirisha akawa mtu katika watu akianza kukunanga hakuna zuri atakalosema juu yako.
Na huenda mabeste alikuwa anamdunda coz ya dharau maana mwanamke akianza dharau hakuna dharau utaacha ona si kwa matendo na si kwa maneno.
Ngoja niishie hapa maana navyozidi kuandika ninakumbuka kilichonipata
Issue ya kutoa mahari ni ishara kwamba demu ndo alikua anang'ang'ania ndoa ...sio kingineMwanamke anadai mpka mahari alitoa hela yeye,hapo inaonekana mabeste ni marioo hajitumi cz huwezi shindwa nunua pete hata ya ten au kulipa mahari
Sent using Jamii Forums mobile app
mabeste naye anazingua,utasikilizaje ushauri wa mwanamkeMke wa Mabeste ana mdomo sana.
Nakumbuka wayback alimdanganya Mabeste ajitoe kwa Hammy B. Na huo ndio ulikuwa mwanzo wa Mabeste kupotea kwenye ramani.
Alimdanganya mwenzie akafulia, sasa hivi kamuacha na kumporomoshea matusi juu.
Wanawake muishi nao kwa akili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haikuishia hapo mwaka juz mwishoni akaamua kumuachaPia hakuishia hapo alimshambulia Jux mtandaoni kwamba Mabeste kamwandikia wimbo hajampa credits wala pesa bila kujua makubariano yao na huo nadhani ndiyo ukawa mwisho wa ukaribu wa Jux na maabeste
Ila ww ukiwa huna Kaz n sawa kabisa unachanua kyaja sebuleni ....Huna kazi sawa baba maisha ni kupanda na kushula. Lakini huna kazi umekaa tu hata kutafuta alternative way ya kupata chochote kitu. Jamani hata sheria inasema mwanaume wa kuhudumiwa ni yule ambaye hajiwezi kabisa kapata ulemavi au vipi.
Yani huna kazi na wala hushtuki kuhangaika upo tu unakaa ndani unabadili chanel. Aiseee hiyo hapana uwiiiiii
Mkuu umemaliza kila kitu [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] siongezi comment ingine kwenye huu uziMimi nacomment hakuna hat interview niliyoskiliza uwa siko interested kusikiliza interview za watu walioachana ila tu naongea from experience.
Na uzuri wanawake uwa ni rahisi kuaminiwa na jamii kuliko mwanaume.
Mwanamke anaweza kukuua makusudi tu kwa kukushoot na akasema ilikuwa self defense na jamii ikamuamini faster kuliko wewe umuue mwanamke kwa self defense kweli na bado hutoaminika.
Nlikua nsicomment Tena Ila kwa upuuzi ulioandika hapa ..dah umeonyesha jinsi gan ulivyo empty kichwani Yan umesikiliza interview tayar ushamuamini dah hatarBaada ya kusikiliza interview ya huyu dada nimeprove vitu fulani kutoka kwake
1. Ana busara
2 ana sifa za kuwa mke hasa kitendo cha kumfichia siri aliyekuwa mume wake
3. Uvumilivu
4 she so matured
Sent from my iPhone using JamiiForums
mzee umeshaoa?Sema jamaa kujitoa Bhits ilikuwa kosa kubwa sana aisee maana baada ya hapo hakuwahi kuvuma tena.
Mbona kipindi mkewe anaumwa alienda kwenye media kuomba achangiwe hadi likafanyika tamasha japo niliona support ya wasanii wenzake ilikuwa ndogo sana, tamasha lilenga ipatikane pesa ya matibabu.
Dah maisha haya huwezi jua kesho yake............
Ndiyo maana bora ukaishi kama senior bachelor
Hahaha hajawahi kuumwa huyo dem ile ilikuwa ishu ya kupiga pesa mi nawafaham kinaga ubaga....naomba niishie hapoNdiye demu huyo huyo ..mabeste alipambana mpaka akafanyiwa harambee na wa-bongo ili demu wake akatibiwe " na hatimae akapona
Hapa wanaume Tunajifunza kwamba pesa ndio kila kitu " hata ujitoe kwa mwanamke kiasi gani 'Kama hauna pesa Thamani yako itabaki kuwa rehani
Sent using Jamii Forums mobile app