Jinsi ndoa ya Mabeste Ilivyovunjika

[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Nilicomment bila kutazama interview, nimetazama na nafuta baadhi ya kauli zangu. Nimemuamini Lisa kwa 85% maana jinsi anavyozungumza kwa uchungu na jinsi anavyo flow matukio inaelekea kaumia sana.
 
Ila kuna mafisi binti kaugua vile kitandani na bado watu wanapiga tu hawaogopi kuzimikiwa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Na ukijaribu kuangalia michango ya wadau humu, utaona kwamba wengi wana judge kwa kutumia uzoefu. Siyo kwamba wamesikiliza.
Me nimeangalia part 1 pekee nikacomment before sijamaliza part 2, 3 na 4 kwa kwel leo nimeangalia part 2 na 3 bila hata kuangalia part 4 maswali yote niliyojiuliza huyu binti kanijibia kwenye part 2 na 3 from now natangaza nipo upande wa Lisa mwanzo nilikosea.
 
Dah....
2napo kwama ni hapa kwan kabla hawajakutana 2likuwepo ? Wamekutana sio hatupo wameachana sie yatuhusu nin?
Hata akielezea vp sie watazamaji hatuwez saidia chochote juu ya maisha yao cha muhmu aende msalaban maana yesu alisema njoon nyiny msumbukao na kulemewa na mizigo nami ntawapumzisha. Yesu tu ndio anatosha
 

Mabeste kaanza kufunguka baada ya mkewe kufunguka Sana Kama mkewe asingefanya ile interview sizani Kama mabeste angefunguka.

Nilivyoona hiyo post yako kwamba aliyeanza ni Lisa nikajua hujawasikiliza.

Lisa is too genuine.
 
Hapo utapata taabu kuwaelezea[emoji23][emoji23],watu hawajasikiliza interview uyo dada alikuwa mvumilivu kupitiliza had kaamua kujitolea mahari ya uongo uongo,
Na vyote kaongea hata tamasha idea ametoa yeye na uzuri ana ushahid Na watu kawataja,
*Nguo za harus wamepewa bure,
*had pakukaa walimuomba shish Na mengineyo,
* mwaka Jana muuza mapazia alimpost insta kakopa hajalipa ni waz maisha yaliwashinda,
Wanawake wavumilivu sana ila akichoka anashindwa kujizuia kuficha mambo yako ya kijinga hasa pale unapojikuta haujakosea,



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui kwa nini? subiri ukioa ndipo utajua!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wote wawili ni wapumbavu. Hizi interviews zote zimerekodiwa na zitadumu milele. Watoto wao wataandamwa na maneno na matendo ya wazazi wao, na watakuja kuangalia na kusikia upumbavu wao milele.
 
Reactions: naa
Kuna ukweli katika usemacho!! Tamu ukimpata mtu ni tamu haswaa!! Ila ukikosea ni changamoto kwa kweli!! Tena changamoto kubwa!

Yoote haya si tunayaona kwa ndugu,jamaa na marafiki!
Uko sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…