Jinsi ndoa ya Mabeste Ilivyovunjika

Hawa wote wawili ni wapumbavu. Hizi interviews zote zimerekodiwa na zitadumu milele. Watoto wao wataandamwa na maneno na matendo ya wazazi wao, na watakuja kuangalia na kusikia upumbavu wao milele.
Jamii haijawasaidia inabidi watumie mitandao kuonyesha maumivu yao. Zamani mambo kama haya watoto wanaitwa wanakanywa na kuelekezwa na wakubwa. Siku hizi wazazi wanaishi tu wapo wapo wanaacha vijana na matatizo yao badala ya kuwapa sapoti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
They did what they felt they had to do but, at a very high cost: their children's future psycho-social well-being. That's very selfish and immature of both of them as parents. Huyo mwanamke going on and on in detail about their private life: tribulations, ups and downs, shenanigans and whatnot, many times unsolicited by the Interviewer, it's all so unbelievable and sickening to listen to.
 
Haaahaaa sio wanawake wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini hakukusanya mwenyewe kama Mabeste sio aliyechangisha? Wanawake wote washenzi huwa wanatafuta sababu ili kukuacha, ukimsikiliza anataja hadi visa vya kabla ya kuoana ila ahalalishe kummwaga jamaa, Karma itamtafuna tu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama alikuwa ana kipato cha kuhudumia familia na mmewe ilikuwaje Mabeste atembeze bakuli ili kumuuguza?

Et ali-plan yeye ile event lengo ni kutuoneshe mmewe hawezi chochote! Kwa nini hakuenda kuimba yeye sasa kwenye hiyo event kama ndiye kila kitu?

Bila umaarufu wa mmewe anadhani ni nani angehamasika hata kumchangia?

Au na huo umaarufu kampa yeye?

Kutokutambua mchango wowote wa mmewe ni ufala haijalishi ana mapungufu kiasi gani.
 
Sasa unavuka mpaka...acha kututusi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kwangu mimi suala la kuoa hapa naona tu hiz mambo zilivyo pasua kichwa
 
Labda yalikuwa maigizo ili watu waguswe ila demu alikuwa fit hadi kuandaa events.

Bongo Dar es Salaam.
 
Huyu dada Lisa Karl Finckenscher baba yake alikuwa yule mzungu Mmarekani Karl Finckenscher mwakilishi wa USAID enzi za JK?
Hakuna kitu kama hicho Lisa mzee wake ni Mwarabu wa Tanga na Mamaake mchaga..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…