Jinsi ndoa ya Mabeste Ilivyovunjika

Demu itakuwa hayuko sawa upstairs ana stress disorder
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natural mwanaume kaumbwa kuwa Provider.
 
Mbona umeweka upande mmoja tu wa uyo Lisa? Ungeweka na Mabeste pia ili ijulikane mbivu na mbichi
 
Mabeste unamjua wewe?
Kuna rapper Bongo hii anaweza mfikia Mabeste? Including unju na Singasinga

Sijasema hajui Muziki. Nazungumzia kufanya kazi.

Kwani Ben Pol hajui Muziki ?

Sasa ni nini kinakufanya uache kazi inayokuingizia kipato halafu uwe full tegemezi kwa mkeo ?
 
Mwanamke akikupenda atafanya kila kitu kukusupport ili akuone umesimama katika nafasi yako kama mwanaume ila akigundua huwezi kuisimamia nafasi yako anachoka na anahisi kukosa security na hayo ndio yanakua matokeo.
Nimewasikiliza wote mabeste na Lisa. Kwa kweli mabeste aliamua kurelax mnooo na kumwachia Lisa majukumu yote ya familia.
Kaka zangu fanyeni kazi mtunze familia zenu.... Ukipata mwanamke anayeweza kukusuppprt usirelax ukamwachia majukumu yako. Wanawake hatujaumbwa hivyo huwa tunachoka na kufanya maamuzi kama ya Lisa.
Mabeste angekua anatimiza wajibu wake hata leo hii wangekua pamoja
 
Umeshawahi kuona mwanamke ambae anakuingilia katika mipango yako ya utafutaji na anakukosoa kuwa unachofanya unapoteza muda jaribu jambo jingine.....

Yaani yeye kazi yake ni kukupelekesha sababu tu ya kukosa adabu na kuwa na ujuaji uliopitiliza......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…