Ona sasa yani Ben Paul naye ni msanii?Sijasema hajui Muziki. Nazungumzia kufanya kazi.
Kwani Ben Pol hajui Muziki ?
Sasa ni nini kinakufanya uache kazi inayokuingizia kipato halafu uwe full tegemezi kwa mkeo ?
Labda nikuambie kitu kimoja tuu mtoa maada, mwanamke akihudumia familia mwezi mmoja tuu basi mtaa mzima watajua
Hapo kwenye maada anasema alihudumia familia miezi 2 , sasa kipindi cha maisha yao yote nani alikua analipa bills?
Ndoa zinachangamoto hiyo iko wazi lakini wanawake wengi wako hivyo...
Hata kipindi nakua mzee wangu anaweza kutuma hela kwa bi Mkubwa ili akupatie, basi akikupatia anaanza kusema mi nawasomesha kwa pesa yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahah..Binafsi vijana wengi kusimamia familia hatuwezi sababu ya anasa na kujipenda kulikopitiliza kunakoleta ubinafsi ndiyo maana mjini unaweza kuta mbaba in his 50's amevaa rafu na sendo chini muda wote yupo busy ila ukienda home mke wake anafaidi anasukuma range na watoto wanasoma na mahitaji wanapata kwa wakati.... Ila kijana bado hajanunua kipochi cha gucci sijui raba kali mara ashinde saloon kuweka kijogoo. .its sad
Sent using Jamii Forums mobile app
Chief umemkomalia mchiz kinomaa.alikua demu wako nn huyu manzi?au ww ndie mshkaji ake mabeste unayetafuna hiyo chombo kwasasaMabeste hakuwa tayari kuoa, aliolewa yeye.
I wanna balance the equation so i wll be back niiskilizesikiliza na hii ubalance
Mama ake sio mchaga n mtu wa singida ..huna details unaandika andika tuu Swain wwHakuna kitu kama hicho Lisa mzee wake ni Mwarabu wa Tanga na Mamaake mchaga..
Kwel kabisaaa.Binafsi mwanaume unapoachwa nategemea ubaki nalo mwenyewe, kuanza kwenda kwenye media kulalamika ni kujidhalilisha mwenyewe.
Huwezi kushindana na mwanamke kwenye kuongea.
Nadhan ana maanisha na ww uko kama mabeste ila ww bado hujapigwa chini akaanze kulia lia kama mabeste.Uhanga ni nini?
Sawa mabesteKwa upande wangu Maisha ya huyo mzee Anaye vaa rough na sendo chini halafu mkewe na watoto wake wanakula maisha mazuri siwezi kuyaishi ..kwangu huo nahesabu kuwa ni sehemu ya utumwa .....
Kama ni maisha mazuri basi yapasa tuyafaidi sote pamoja ....sio Mimi nipitie shida ili wengine wale raha Big no
All in all vijana wa siku hizi tunapaswa kujituma na kuya simamia majukumu yetu ipaswavyo otherwise tutazidi kuizorotesha heshima ya KIUME
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hajawahi kuumwa huyo dem ile ilikuwa ishu ya kupiga pesa mi nawafaham kinaga ubaga....naomba niishie hapo
Nadhan ana maanisha na ww uko kama mabeste ila ww bado hujapigwa chini akaanze kulia lia kama mabeste.
Ahahahahahah
Point no2Binafsi vijana wengi kusimamia familia hatuwezi sababu ya anasa na kujipenda kulikopitiliza kunakoleta ubinafsi ndiyo maana mjini unaweza kuta mbaba in his 50's amevaa rafu na sendo chini muda wote yupo busy ila ukienda home mke wake anafaidi anasukuma range na watoto wanasoma na mahitaji wanapata kwa wakati.... Ila kijana bado hajanunua kipochi cha gucci sijui raba kali mara ashinde saloon kuweka kijogoo. .its sad
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wewe ndiye huyo Lisa?. Unatumia nguvu kubwa sana kutuaminisha kuwa MABESTE ndio tatizo.Kitu kilichomuumiza ni Mabeste kuanza kuongea kwamba sababu ya wao kuachana ni pesa. Kaongea kwenye media.
Mama wa watu imebidi atoke hewani akaelezea jinsi alivyomlea jamaa toka mwanzo mpaka wanaachana, hadi mahari alijilipia.
Ugonjwa aliokuwa anaumwa inasemekana kwamba chanzo ni familia ya Mabeste, maana mara zote Mabeste alikuwa akiwatuhumu nyumbani kwao na haelewani na wazazi wake kabla hata hajakutana na Lisa.
Idea ya kukusanya michango kwa ajili ya matibabu ni ya Lisa, na hata kuendesha accounts za Mabeste yeye ndiye alikuwa anafanya hivyo, ile concert yeye ndiye aliyeplan na kuanza kufatilia kila kitu.
Ukiweza kupata muda wa kumsikia utaelewa, na bahati mbaya kwa Mabeste, Lisa alifikia sehemu akaanza kurekodi kila walichokuwa wanazozana au kujadili.
Hapo kwenye asilimia 💯 pagumu kumeza.Nimesikiliza intavyuu ya Lisa nimesimama na Lisa aseeeh nna hakika100% amesema ukweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ndio uanaume sasa.Nishapigwa chini mpaka nishakuwa sugu, mimi nikiachana na mtu ikitokea akaenda kutangaza sababu nazibariki na kusema ndo hizo hizo.
Ahahahahahah.
Kwani wewe ndiye huyo Lisa?. Unatumia nguvu kubwa sana kutuaminisha kuwa MABESTE ndio tatizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
HaahaahaaWanawake ni viumbe wa ajabu kweli, ukiwa na hela atatamani ushinde ndani muda wote hata nje usitoke, ukiwa huna sasa hataki kukuona hapo ndani, hata ukilala nje anaona sawa tu.