Jinsi ndoa ya Mabeste Ilivyovunjika

Kasikilizeni interview hiyo, acheni kufanya judgement kabla hamjasikiliza kesi.

We jamaa unaakili ya kipumbavu sanaa.. Kwa hiyo utetezi wa huyo dada umekufanya umfutie makosa yake.. Yani mke wa ndoa unaachana na Mme wako. Tena ndoa ya kikristu kisha unaenda kuishi na rafiki wa mume wako. Aisee

Nimeacha kumwona fala huyu dada. Kwa sasa nakuona wewe..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hii ni kweli kabisa. Nina brother yangu.... Yeye anakwambia anadeal na issue za watoto directly. Na anapokwenda kumlipia ada anamuonyesha kabisa kuwa ni yeye kalipia..... Na mtoto anapokuwa na shida anazungumza nae na akimpatia pesa anampa mkononi kabisa.....

Ila sijui ni kwann wanawake huwa wanakuwa selfish

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo tunaingia kwenye ushirikina tena kuwa alilogwa.... Duh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkeo anasukuma range na watoto wanakula good life halafu baada ya muda unakufa kwasababu ya kubebelea mastress ya maisha pekee yako na mwisho wa siku mkeo anatumbua mali na watoto akiwaambia yeye ndio alifanya mfike hapo mlipofika.....

Aaaaah weeee me sifanyi huo upuuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa boob

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Very very very true mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila sasa ndugu wanahusianaje?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabeste ana mapungufu yake, ila yule mwanamke sio Malaika.

Kitendo cha kuchukuliwa tu na Rafiki yake Mabeste kimemtia doa.

Sisi wastaarabu tunasema ushemeji haufi.

Na swala la kuongelea ushirikina tu, nimemuoana wa ajabu sana.
My point exactly, mwanamke wa kisasa unajiridhishaje na fikra za ushirikina.... Kuna magonjwa ukienda hospital huwa ni ngumu kuwa detected hadi baada ya muda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke asikutoe katika ramani ya utafutaji, akikwambia upo busy haupati muda nae mwambie akatafute wasio busy ili wampe huo muda.. Au kaa kimya usimjibu..... Ni upuuzi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi ndio wanatengeneza breed mbaya ya wanaume ambao watakuja kuwa treat vibaya kuliko maelezo.. Sisi akina mume mwema ndio tunaishia hivyo.... Tusubirie tu muda utaanza kuwapa majibu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Very true

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi popo kumbe wanajamba pia?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwacheni Lisa ale uzazi bhana, sasa kama mwanaume alishindwa kusimamia nafasi yake ye angefanyaje.
Mwanaume kwelikweli unaetambua nafasi yako mwanamke hawezi kukuacha kizembe, ukitaka improve hili waulizeni wale wanaume ambao wake zao wako tayari kupigania ndoa zao hata kwa mtutu

Cc Equation x 💯✔
 

Nimeondoka na maneno matatu ya mwisho mkuu hahahaha
 
Poa natumemuacha ale uzazi vizuri. Ila kila mbwa ana siku yake.....

Moja ya miiko ya ubinadamu ni kumuumiza mwingine hisia bila ya kumpa nafasi ya kujitetea.

Huyo mabeste amekubali kuumia na sasa anableed damu ndani kwa ndani kwa maumivu anayoyasikia. Hivi unadhani kuna usalama hapo?! Umuumize mwenzako kwasababu za kibinafsi then uje kuwa na baraka huko uendako.... Nooo way. MUNGU yupo na anatoa haki.

Kama yeye aliona ni haki kumuacha mwanaume aliyejiapiza kumpenda na wakapata watoto pamoja leo anamtreat kama takataka then tutaona labda jina lake la mwisho liwe MUNGU.....


Mabeste jembe langu, popote ulipo, uvumilia maumivu jembe, najua umeumia kuona mwanamke aliyejinasibu kukupenda milele hata iweje na mkapata watoto wawili wazuri sana, kaamua kukatisha safari ya penzi lenu na kwenda anzisha safari mpya na mtu mwingine tu kwasababu haupo vizuri kiuchumi kwasasa, na mbaya zaidi ni mtu anaekufahamu na mnajuana na pengine anajua historia ya mahusiano yenu. Na leo kukutukana kabisa anakupostia picha ya mtoto aliyezaa nae katika tumbo la uzazi lile lile alilobebea watoto wako. Inauma sana....

Mimi personally kama mwanaume nimeumia sana kuona kichotokea aisee inauma sana.... Pole sana jembe.... Ipo siku haki yako itakufikia....... Maumivu huwa hayadumu ingawa ni makali. Jikaze bro.... Jikazee sana usikate tamaa.... Tunaumia pamoja... Na ninafeel maumivu yako.... Pole sana jembe langu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Pole sana mkuu kwa maumivu pole pia kwa kumsaidia mabeste maumivu
Ila hili liwe funzo kwa wanaume wengine na kwetu wazazi wenye watoto wakiume tuwalee tukiwakumbusha kuishi na mwanamke yawapasa kufanya kazi, kulea familia na kutumia akili.

Mabeste anatia huruma sababu lisa ameamua kumove on lakini yote hayo ni sababu alilegea mnoo, kweli kwenye ugonjwa walihitaji msaada na walipata, lakini kweli mwanaume unalala ndani miaka bila kujua familia inaishije? Bahati mbaya sana sio asili wala imani zetu zinashabikia mwanaume kuwa legelege
Cc Equation x
 
Ni rahisi mtu kumove on na kusahau kirahisi kama utakua hauoni kinachoendelea kwenye sidelife ya mwenzio mlieachana

Mabeste inakua ngumu ku move on na kusahau kwa sababu ya pressure za mitandaoni na tayari aliekua mkewe yupo kwenye spotlight, it means hapo kila siku anakutana na mapya ya walimwengu

pia inaonekana bado hajakaa financially fit,at least pesa ingekua inaflow vizuri ingempoza kwa namna fulani.

na watoto pia wanachangia kumfanya asisahau haraka ..akiangalia picha za wanae anakumbuka some moments ...Sema jamaa apambane tu na hali manake ndo uanaume huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…