Jinsi nguvu ya Yanga inavyojidhihirisha Simba kupitia Mangungo

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Simba kwa sasa tutaona kila rangi.Utawala wa yanga umeimarishwa hadi kwenye safu ya uongozi wa Simba.
Malengo yao ya kimpira yanatimia huku malengo ya kisiasa ya wanaotumiwa yanatimia lakini kuna mwanga unaonekana kwa wapiga dili ( opportunists) kama akina Kigwangala ambao wameanza kutupigia hesabu za matikiti maji.

Agenda za yanga dhidi ya Simba,mangungo anazitekeleza vizuri sana ikiwa ni pamoja na kudhoofisha timu kwa kuwagawa wachezaji ili yanga iipiku Simba.

Mangungo yupo sana Simba kwa kwa ajili ya maslahi yake binafsi ya kisiasa huku akitekeleza maelekezo yanayokuja na bahasha kutoka kwa maguru ( walio na wanaofaidika na pesa za wizi serikalini) mashabiki wa upande wa pili.

Vita ya Simba ni ngumu sana kwa vile walio ndani ni mamluki na ndio wanamsaidia adui wakati wakitimiza malengo yao.

Walitakiwa wote waachie ngazi,waiache timu ianze upya na uongozi wa muda
 
GPzd-hVXoAAfQRp.jpeg
 
Kwani Mangungu alichaguliwa na Mkutano Mkuu wa Simba au Yanga?
 
kwani huyo Mangungu alichaguliwa na Yanga?...... si nyinyi wenyewe ndio mulio mchagua!

Pambaneni wenyewe mumalize matataizo yenu, musiitumie Yanga kama kichaka cha kujifichia.
 
Ongeeni yote lakini Mangungu hatoki maana tulimchagua kwenye mkutano, hajavunja katiba, timu ina makombe mawili msimu huu, robo fainali Cafcl, nafasi ya 3 ligi kuu yote kayafanikisha yeye.
 
Back
Top Bottom