Jinsi nguvu ya Yanga inavyojidhihirisha Simba kupitia Mangungo

Jinsi nguvu ya Yanga inavyojidhihirisha Simba kupitia Mangungo

Simba kwa sasa tutaona kila rangi.Utawala wa yanga umeimarishwa hadi kwenye safu ya uongozi wa Simba.
Malengo yao ya kimpira yanatimia huku malengo ya kisiasa ya wanaotumiwa yanatimia lakini kuna mwanga unaonekana kwa wapiga dili ( opportunists) kama akina Kigwangala ambao wameanza kutupigia hesabu za matikiti maji.

Agenda za yanga dhidi ya Simba,mangungo anazitekeleza vizuri sana ikiwa ni pamoja na kudhoofisha timu kwa kuwagawa wachezaji ili yanga iipiku Simba.

Mangungo yupo sana Simba kwa kwa ajili ya maslahi yake binafsi ya kisiasa huku akitekeleza maelekezo yanayokuja na bahasha kutoka kwa maguru ( walio na wanaofaidika na pesa za wizi serikalini) mashabiki wa upande wa pili.

Vita ya Simba ni ngumu sana kwa vile walio ndani ni mamluki na ndio wanamsaidia adui wakati wakitimiza malengo yao.

Walitakiwa wote waachie ngazi,waiache timu ianze upya na uongozi wa muda
Hamna akili nyie yanga ndiyo waliowachagulia mangungu au ninyi wenyewe kwa utashi wenu
 
Back
Top Bottom