Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 12,444
- 18,741
Ulitaka akitoka kwenye majivu ndo muende? Mwenzio alienda kutubu dhambi zake wewe unataka kumrudishaDar mapenzi haya huyu dada tuna mwezi .leo sasa tulipanga vizuri akitoka kwenye majivu kanisani tuonane tutoke. Ila mpaka sasa nikimpigia Simu hapokei. Hapa nilipo natamani ardhi ifunguke inizamishe