Reginald L. Ishala
JF-Expert Member
- Jun 18, 2011
- 3,810
- 6,789
Don kama Don, Inakuwaje msanii na mwanamuziki mkubwa kama wewe haujawa Verified JF!?!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe huyu jamaa sio mzima. Tuulize sie tuliokaa naye jirani hapa Mwanza.Aaaah mwanamuziki msomi kama wewe siamini kama unaona kufanana ndiyo undugu ujue we ni msomi mkubwa sana. Umefundisha miaka mingi naamini huwezi kutumia sababu ya kutofanana ndiyo siyo wanao.
Halafu hawa Usalama wa Taifa naona wanakufuata fuata sana tangu kipindi kile ulipotaka kuteuliwa kuwa balozi.