Nilipokuwa mdogo nlipenda sana game nilikuwa nkiona computer nachanganyikiwa kinachonijia akilini ni game kipndi kile nlikuwa sina uwezo wa kumiliki computer, washkaji zangu walipo kuja kuwa na computer nlitumia computer zao kucheza sana game mpk nilipo kuja miliki PC yangu, siku rizika nilianza kupekua pekuwa jins gan video game zinatengenezwa.
Nilikuwa nkijiulza sana maswali nilienda YouTube nkaangalia wanavo tengeneza nlipoona jamaa anaandika vtu avieleweki km codes skujua ni nni kile anafanya ndipo nkaacha kufuatilia
Nilipo faulu advanced nilichangua kusoma IT nikiamini ipo sku natengeneza game langu. Nlipoenda chuo mwaka wa kwanza sikujua kuna kitu knaitwa programming. Ilikuwa ni kitu kigeni ndipo nikaaza fuatilia programming ni nini, nilitafuta pia ni vitu gani unaweza fanya na programming niliona unaweza kutengeneza games.
Haikuwa rahisi mara ya kwanza nakutana na programming tena chuo, lakini huwa sina tabia ya kukata tamaa kirahisi nilipambana ivo ivo mpk nkaanza kujua. Nilitafuta mpk muda wa ziada, usku silali kujisomea ili tu nijue programming vzuri nilifanikiwa ikafika kipind naweza andika code bila kurefer sehemu na kusolve problems baada ya kujifunza data structure and algorithms
Nilirudi tena kwenye video games kufuatilia jins ya kutengeneza nilianza fuatilia video za jamaa anaitwa brackeys YouTube nazani ndo jamaa maarufu kwa sasa kwenye tutorials za Unity
Pia nilifuatilia chanel ya code monkey na kusoma UNITY documentation na kugoogle
Pia niliingia forum ya quora kutafta ushauri wa experts kuona jins gan naweza anza kutengeneza video games wengi walisuggest UNITY 3D ndo nzuri kwa beaginers
Nilianza tumia UNITY kutokana na skills zangu za programming in OOP nlianza elewa unity kwa mda mchache uku nikifuatilia tutorials na documentation za unity
Nikafanikiwa kutengeneza game moja la hill racing 2D ambalo bado sjali upload playstore nimelia attach video hapa.
video hiyo ni ya mda ila nme update game
Pia bado naendelea kujifunza kwani mpk sasa nimeshatoka level ya ubeginer
Natamani siku moja uku Tanzania tuwe na game studio zetu na tengeneze game zetu wenywe na kuziuza kwani game indusry inalipa sana