youngkato
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,811
- 3,888
Jinsi nilivyobadirisha elfu 20 kuwa TSH 500,000 kwa kutumia tangazo moja tu la Facebook & Instagram
Jinsi nilivyobadirisha elfu 20 kuwa TSH 500,000 kwa kutumia tangazo moja tu la Facebook & Instagram
kwa kuuza digital product (WhatsApp Automation Tool).
Niliamua kujaribu bahati yangu kwa kutumia mtaji wa 20,000 tu…
Nilipata haya matokeo👇🏽
✅ Kutuma dm kwa watu wengi
✅ Kusevu namba automatic
Target wangu wakuu walikuwa:
🔹 Wafanyabiashara wa mtandaoni
🔹 Wajasiliamali wote
Mfano wa ujumbe wangu:
Nilimtumia designer wangu kutengeneza poster
CTA yangu ilikuwa
“Tuma neno ‘SOFTWARE’ kwenye WhatsApp 👉 wa.me/255693880325”
Kuonyesha jinsi software inavyofanya kazi
kwenye video nikachanganya picha na shuhuda kadhaa.
NILITUMIA: Canva + Capcut
Software zote nilikuwa nazo kwenye simu.
Umri: 20–35
Location: Tanzania Dar peke yake
Interest: Business, Marketing, Online shop
🎯 Niliweka objective: Watu wanitumie DM WhatsApp
Bajeti: $2 (TSh 5,000 kwa siku x 4)
“Naweza kupata hiyo software?”
“Inafanya kazi kwenye simu au laptop?”
“Can i get more info on that?”
Wengine walikuwa tayari kulipia bila kuuliza maswali.
👉Nilikuwa na video yenye maelezo
👉Nilitoa bonus ya "Video ya jinsi ya kuitumia"
👉Bonus ya group 100 za whatsapp
Bei ya software ilikuwa TSH 25,000
Siku ya 1: Niliuza kwa watu 8
Siku ya 3: watu walifika 20
25,000 x 20 = TZS 500,000
Gharama ya tangazo: TZS 20,000
Faida safi: TZS 480,000
✔️ Video kuleta attention
✔️ Call to action WhatsApp
✔️ Nilijitahidi kuweka shuhuda nyingi
✔️ Kujibu DM kwa haraka
Pia na uzoefu wa kufanya closing kwa simu
Mimi nilianza na TZS 20,000 tu, nikaona matokeo makubwa.
Usiogope kujaribu. ilimradi unachouza kiwe kweli kinahitajika.
Unaweza pia kutumia matangazo kwenye biashara yako. au kujifunza kurusha matangazo
Victoria agency tutakusaidia kuandaa tangazo bora, kurusha tangazo na kuleta wateja kwako.
Niandikie WhatsApp hapa 👉 wa.me/+255693880325
Jinsi nilivyobadirisha elfu 20 kuwa TSH 500,000 kwa kutumia tangazo moja tu la Facebook & Instagram
kwa kuuza digital product (WhatsApp Automation Tool).
Niliamua kujaribu bahati yangu kwa kutumia mtaji wa 20,000 tu…
Nilipata haya matokeo👇🏽
1. Nilikuwa nauza software inayosaidia watu:
✅ Kukusanya namba za WhatsApp✅ Kutuma dm kwa watu wengi
✅ Kusevu namba automatic
Target wangu wakuu walikuwa:
🔹 Wafanyabiashara wa mtandaoni
🔹 Wajasiliamali wote
2. KWANZA NILIANDIKA COPY YA TANGAZO
Niliandika copy yenye kila kitu anachotafuta mfanyabiashara.Mfano wa ujumbe wangu:
Nilimtumia designer wangu kutengeneza poster
CTA yangu ilikuwa
“Tuma neno ‘SOFTWARE’ kwenye WhatsApp 👉 wa.me/255693880325”
3. NILIANDAA VIDEO
Niliandaa video fupi ya sekunde 10 tuKuonyesha jinsi software inavyofanya kazi
kwenye video nikachanganya picha na shuhuda kadhaa.
NILITUMIA: Canva + Capcut
Software zote nilikuwa nazo kwenye simu.
4. Nikarusha tangazo langu lionekane facebook na instagram
👉 Target audience wanaouza onlineUmri: 20–35
Location: Tanzania Dar peke yake
Interest: Business, Marketing, Online shop
🎯 Niliweka objective: Watu wanitumie DM WhatsApp
Bajeti: $2 (TSh 5,000 kwa siku x 4)
5. KILICHOTOKEA BAADA YA MASAA 3 TU
DM na maswali yakaanza kuingia WhatsApp:“Naweza kupata hiyo software?”
“Inafanya kazi kwenye simu au laptop?”
“Can i get more info on that?”
Wengine walikuwa tayari kulipia bila kuuliza maswali.
6. Sikutegemea DM nyingi, lakini:
👉Nilitayarisha majibu ya maswali ya kawaida👉Nilikuwa na video yenye maelezo
👉Nilitoa bonus ya "Video ya jinsi ya kuitumia"
👉Bonus ya group 100 za whatsapp
Bei ya software ilikuwa TSH 25,000
Siku ya 1: Niliuza kwa watu 8
Siku ya 3: watu walifika 20
7. MATOKEO BAADA YA SIKU 3 YALIKUWA:
Mauzo yote:25,000 x 20 = TZS 500,000
Gharama ya tangazo: TZS 20,000
Faida safi: TZS 480,000
8. Kilichonisaidia kupata haya matokeo ni
✔️ Copy nzuri✔️ Video kuleta attention
✔️ Call to action WhatsApp
✔️ Nilijitahidi kuweka shuhuda nyingi
✔️ Kujibu DM kwa haraka
Pia na uzoefu wa kufanya closing kwa simu
9. Matangazo ya fb yana matokeo mazuri ukiweza kufata taratibu zote.
Watu wengi wanaogopa kutumia ads kwa sababu ya kupoteza hela.Mimi nilianza na TZS 20,000 tu, nikaona matokeo makubwa.