Kisaidizi cha kwanza cha nyeto ni hisia...ukimvutia hisia mwanamke tu hata kama kavaa gubigubi lazima wazungu waje tu.
Nyeto sio nzuri spiritually inaua moyo, ndio maana ukipiga mara ya kwanza lazima uhisi majuto sana mara baada ya kufika mshindo ila siku zinavyozidi kwenda moyo unazidi kufa na hujutii tena.
Kiafya ni kuwa inapunguza uwezo wa macho kuona vizuri, maumivu sana ya mgongo (chini ya kiuno), upungufu wa kumbukumbu, concentration inapungua, unapoteza kujiamini mbele za watu, huwezi kutizamana na watu macho kwa macho.
Suala la kuwahi kufika mshindo (climax) sidhani kama linachangiwa na nyeto, ni suala la kimaumbile na saikolojia ys mtu, unaweza kupiga nyeto na bado kitandani ukawa unachelewa kumwaga vilevile.