Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Nani kakwambia kuwa walikuwa hawafanyi masterbation? Hii kitu ilianza enzi na enzi na itaendelea mpk mwisho wa dunia. Asilimia 98% ya wanaume wote wameshawahi kujichua kwa kutumia mkono ktk sehemu ya maisha yao hapa duniani.Semaa humu ndani ukifata kila mtu anachosema unapotea mazima...
Nyeto ni mbaya Nyeto inaharibu future za watu... nyeto sio ya kuendekeza
Thamani ya Mwanaume ni nguvu zake mwenyewe
Tunasema wazee wa zaman walikuwa ngangali kwa sababu vitu vingine wao hawakugusa...
Bao moja la nyeto ni ni sawa na kukimbia Kilomita 60 nguvu unayopoteza
Hii umenenaUpigaji wa nyeto ktk karne hii umekithiri sana kutokana na kukithiri kwa picha za ngono almaarufu kama X...na pia uvaaji nguo nusu uchi wa wanawake, stress za kubeti na kutokuwa na pesa ya kuoa mapema/. Kununua makahaba.
Majuto unahisi wewe mkuuKisaidizi cha kwanza cha nyeto ni hisia...ukimvutia hisia mwanamke tu hata kama kavaa gubigubi lazima wazungu waje tu.
Nyeto sio nzuri spiritually inaua moyo, ndio maana ukipiga mara ya kwanza lazima uhisi majuto sana mara baada ya kufika mshindo ila siku zinavyozidi kwenda moyo unazidi kufa na hujutii tena.
Kiafya ni kuwa inapunguza uwezo wa macho kuona vizuri, maumivu sana ya mgongo (chini ya kiuno), upungufu wa kumbukumbu, concentration inapungua, unapoteza kujiamini mbele za watu, huwezi kutizamana na watu macho kwa macho.
Suala la kuwahi kufika mshindo (climax) sidhani kama linachangiwa na nyeto, ni suala la kimaumbile na saikolojia ys mtu, unaweza kupiga nyeto na bado kitandani ukawa unachelewa kumwaga vilevile.
Labda kuna namna wanavyonufaika na ule uhai ulipo ndani ya bao unalotoa.Halafu sijui hii agenda ya nyeto kwanini inapigiwa promo sana kwamba haina madhara, huko Youtube ndo usiseme wazungu wameikazia sana kwamba haina madhara, nafkiri kuna mtu yuko behind this.