Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8

Ongea tu. Maana hapa tupo kila mtu na tabia zake. Kwa hiyo wewe weka mada yako hapa. Na Kama ukiona baadhi ya wapuuzi unaachana nao tu. Maana humu kila mtu na akili zake
 
Wewe unatabia za kibashite au sizonje, kwa nini hupendi kukosolewa, ndiyo maana mwandiko wako sio mzuri
Kweli mkuu.....mwandiko wake umenikumbusha bandiko lililo kuwa linamtetea bashite.... kama utapingwa na huyu , yule akakupa hongera ndo maana ya mijadala mkuu.... kama sio bashite na sisonje lete mambo hapa jukwaani.....
 
mwanafunzi wa chuo ukachaguliwa mjasiriamali bora wa Africa chini ya miaka 22....! hahahaha very interesting chuo chenyewe UDSM mnaoshinda pale Mlimani City na vismartphone vyenu ...hongera sana mkuu
Mkuu LAKI si pesa, tunatofautiana sana 'ego'. Watu wachache sana wanamfahamu Christy Walton, huyu ni mwanamke tajiri zaidi duniani - lkn kila mtu anamfahamu Oprah. Trust me hata humu JF kuna watu hawawahi hata kumsikia Mike Mushi - kuna watu wapo hivyo.

Binafsi nimefanya interview na Forbes (sio forbes Africa - Forbes yenyewe), nimekuwa featured BBC-World Service, CNN-Africa, SABC, Venture Africa, How we made it in Africa, Africa Successive stories. Jana nimemalizia kushoot Documentary na Deutsch Welle (DW tv) - hawa wananitafuta wenyewe. Mwaka 2015 nilisema rasmi sitaki kuwa featured kwemye media yoyote hapa TZ, baada ya kutoka kwenye page 4 (ikiwemo front page) za Citizen, nilipata usumbufu wa hali ya juu - tena bado nipo chuo.

Jambo la msingi hapa ni kushare knowledge, kuinspire na si kutafuta 'sifa za kijinga'. hapa tukifanya filming - 60 acres ya mahindi
 
Kwa kuogopa tu kukosolewa tayari umepoteza sifa ya watu kuamini unachotaka kutuambia. Jiamini mkuu au huna vyeti?
 
Wazoefu wa kubembeleza kazi kwenu, kama hutaki kuandika wataandika wengine
 
Tupo wachache wenye akili hizi..sasa hivi watu wamekazana kushadadia yasiyo na faida kwenye maisha.mala Gwajima kasema hivi,Mala bashite anatakiwa hivi,mambo chungu mzima ilihali wanaowashadadia wote wanapiga zao pesa na maisha yanaendelea,wako job yani
 
Kwa jinsi nilivyosoma Post yako na uandishi wako Role model wako bila shaka atakuwa ni Strive Masiyiwa.


Hongera sana mkuu ONTARIO
Hahahaaa Strive Masiyiwa is my personal mentor, hata trh 12 April nitaenda kwake SA kwaajili ya consultation. Kama unamfatilia vzr Dr. Strive basi lazima utakuwa unanifahamu.

Huyu jamaa ni role model wa 'back child' yeyote Africa mwenye ambition ya kuwa successful kwenye biashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…