mrs fiance
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 352
- 163
Ongea tu. Maana hapa tupo kila mtu na tabia zake. Kwa hiyo wewe weka mada yako hapa. Na Kama ukiona baadhi ya wapuuzi unaachana nao tu. Maana humu kila mtu na akili zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuu.....mwandiko wake umenikumbusha bandiko lililo kuwa linamtetea bashite.... kama utapingwa na huyu , yule akakupa hongera ndo maana ya mijadala mkuu.... kama sio bashite na sisonje lete mambo hapa jukwaani.....Wewe unatabia za kibashite au sizonje, kwa nini hupendi kukosolewa, ndiyo maana mwandiko wako sio mzuri
hahaa!! ataandika kilatini, watu wana hasira humu washaingizwa town balaa!au mambo ya forever na deci ataona wino mchungu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnaanza kumtisha sasa!!Na ukute hana hoja za kusapoti anachoeleza,atajuta kujiunga jf.
😀 😀 😀 ndo tatizo la waleta madili wa humu, eti sharti yeye awe bosi...mkuu we lete pambanua hizo njia watu waamue wenyewe na si utuambie lazima tupitie wewe kufanikiwa tutakubarasa ati
Mkuu LAKI si pesa, tunatofautiana sana 'ego'. Watu wachache sana wanamfahamu Christy Walton, huyu ni mwanamke tajiri zaidi duniani - lkn kila mtu anamfahamu Oprah. Trust me hata humu JF kuna watu hawawahi hata kumsikia Mike Mushi - kuna watu wapo hivyo.mwanafunzi wa chuo ukachaguliwa mjasiriamali bora wa Africa chini ya miaka 22....! hahahaha very interesting chuo chenyewe UDSM mnaoshinda pale Mlimani City na vismartphone vyenu ...hongera sana mkuu
akitaka kuwa bosi kwa lazma atabaraswa😀 😀 😀 ndo tatizo la waleta madili wa humu, eti sharti yeye awe bosi...
ataangalia movie ya kichina bila subtitle na kuielewahahaa!! ataandika kilatini, watu wana hasira humu washaingizwa town balaa!
Tupo wachache wenye akili hizi..sasa hivi watu wamekazana kushadadia yasiyo na faida kwenye maisha.mala Gwajima kasema hivi,Mala bashite anatakiwa hivi,mambo chungu mzima ilihali wanaowashadadia wote wanapiga zao pesa na maisha yanaendelea,wako job yaniNi kijana wa kitanzania ambaye napambana sana katika maisha haya ya kila siku, nashindwa kushea na wadau hapa kwakua ukileta uzi wa maendeleo utaitwa mwizi ni tapeli na kukatisha tamaa hata kwa wengine.
Watakaotaka kujifunza kutoka kwako nalisema hili kwa uzoefu mkubwa sana kwa baazi ya mabandiko ya maendeleo niliyoyasoma hapa kwa mfano kuna bandiko lipo hapa la huyu mdau ONTARIO.
Mimi pia natamani sana kushea nanyi napata uoga wa hali ya juu sana kwakua mtu kama huyo anaetaka kutupatia maarifa kupingwa kwa nguvu kubwa kiasi kile. Je mimi ninaetaka kushea nanyi jambo langu la kheri ni mafanikio makubwa sana. Na nisiejua kujieleza vizuri sana kama ONTARIO nitabakia salama.
Hongera sana kwa kushea nasi ONTARIO na wengine wengi.
hahaha! na britanicca/katelelo ndo kasababisha watu hawana imani kabisa na madili!ataangalia movie ya kichina bila subtitle na kuielewa
Hahahaaa Strive Masiyiwa is my personal mentor, hata trh 12 April nitaenda kwake SA kwaajili ya consultation. Kama unamfatilia vzr Dr. Strive basi lazima utakuwa unanifahamu.Kwa jinsi nilivyosoma Post yako na uandishi wako Role model wako bila shaka atakuwa ni Strive Masiyiwa.
Hongera sana mkuu ONTARIO
Naona mikwara imezidi kabla hata ya dili kaamua kuingia mitini, ama ndo anaandaa bandiko...akitaka kuwa bosi kwa lazma atabaraswa