Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
mtunzi mzuri sana namfananisha na wale wa NIgeria wanaoandika inspirational stories kwenye email..very touching stories mwisho wake inaishia kwenye utapeliJamaa nimemfuatilia ni Mtunzi mzuri wa Stori soma hii pia huyu ni story writer mzuri
I never thought it'd come a day that....
Mkuu nadhani sikueleweka,huku nilipo wanauza hayo madubwasha,used mpaka dola 2000,sasa nlidhani serikali itakuwa imelegeza kidogo kwenye ushuru ninunue huku nitume huko niwe nalikodisha kwa watu dizaini ya kina ontario mwisho wa mwezi nachukua changu,siunajua kila fursa ina sub-fursa zake.sasa kwa maelezo nliyopewa na jamaa naambiwa TRA hawajui kabisa kama kuna policy inaitwa "kilimo kwanza",kodi iko juu sana.Nenda beforwad kila kitu kipo wazi
Hahahaaa Strive Masiyiwa is my personal mentor, hata trh 12 April nitaenda kwake SA kwaajili ya consultation. Kama unamfatilia vzr Dr. Strive basi lazima utakuwa unanifahamu.
Huyu jamaa ni role model wa 'back child' yeyote Africa mwenye ambition ya kuwa successful kwenye biashara.
simpingi mtu but naongelea uhalisia......ujasiriamali sio rahisi hivi kama watu wengi wanavyofikiriaUkisikia mtima nyongo ndio huo.Nina uhakika utakuwa masikini wewe,uzi mzuri kama huu umeacha kuchukua yale yenye faida ukajifunza kwayo umekalia kumjadili aliyeleta mada na maisha yake binafsi.acha roho mbaya mshamba wewe,wenye akili na busara wala hawana haja ya kumjua huyo ontario ni nani personaly wanadurusu uzi tu.This is a damn online forum for christ sake.
unawaza siasa muda wote hopeless fellow njoo nikuajiri kama huna kaziTatizo lako njaa inakugonga ukiamini huko Lumumba watakupa pesa za bure bure na wewe uishi vizuri mjini..
Ulianza kwa Lowassa ukahama nae, baada ya kuona Ukawa hawatoi pesa ukarudi CCM na kuanza kumponda Lowassa na baada ya kuona Magu nae hawapi pesa UVCCM ndio umechanganyikiwa kabisa hasa unavyosikia vijana wenzako wanatengeneza mamillion ya pesa ndani ya mwezi mmoja tu..
We endelea kukata viuno kwa wanasiasa ukifikiri ndio njia nyepesi kutajirika..
Wapi katika bandiko lake amesema ni rahisi,acha ufala kukimbilia kukoment kabla hujasoma vizuri kilichoandikwa,wajasiriamali tupo hapa na tumemwelewa vizuri.au ilitaka aende na wewe stone island?simpingi mtu but naongelea uhalisia......ujasiriamali sio rahisi hivi kama watu wengi wanavyofikiria
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] ndo mana unajiita playboy...hyaa endelea kudeka kwq mamaDah mimi na miaka yangu 27 bado nadeka kwa mama
Asante mkuu uzi wako umeni inspire sana.. Big up
dah yaani unamuelewa mtu hata huo ujasiriamali wenyewe hajakuambia ulikuwa wa nini? ehe tuambie alikuwa anafanya ujasiriamali gani huko chuoni? alianza na mtaji sh ngapi na alipata faida sh ngapi? mpaka utajwe kuwa mjasiriamali wa afirica ina maana umetengeneza faida ya kutoshaWapi katika bandiko lake amesema ni rahisi,acha ufala kukimbilia kukoment kabla hujasoma vizuri kilichoandikwa,wajasiriamali tupo hapa na tumemwelewa vizuri.au ilitaka aende na wewe stone island?
Sure I thought the same bro, it confusingHey Jamii forums, nahisi huu uzi kuanzia page ya 5 umeunganishwa na uzi mwingine ambao either hauMake sense ama haukoRelated. Do something please!!
Alaa kumbe najadili na bashite type,ni hivi jamaa ameelezea kwa kirefu kuhusu project yake ya kukodisha trekta na kulima mashamba ya watu kwa ujira maalumu,55k/eka,akaelezea changamoto na hatua alizopita kuanzia kukodisha hizo trekta,kupata dereva,usimamiaji mpaka faida iliyopatikana katika zoezi hilo.hyo ndio point ya msingi kwenye uzi wa jamaa,hayo mengine yalikuwa ni kunogesha tu,kama ni ya kweli ama laa wewe haikuhusu deal na point muhimu kuwa kuna fursa katika kilimo na sio tu kulima mazao fursa ipo pia katika mambo mengine yahusuyo kilimo kama logistics,milling,packaging na mengineyo,usipoelewa hapa huelewi tena.dah yaani unamuelewa mtu hata huo ujasiriamali wenyewe hajakuambia ulikuwa wa nini? ehe tuambie alikuwa anafanya ujasiriamali gani huko chuoni? alianza na mtaji sh ngapi na alipata faida sh ngapi? mpaka utajwe kuwa mjasiriamali wa afirica ina maana umetengeneza faida ya kutosha
msome vizuri hiyo project sijui ya kukodisha mashamba ameifanya mwaka huu 2017....mimi swali langu ni huo ujasiriamali alioufanya kipindi yuko chuo uliomuwezesha kuwa mjasiriamali bora Africa na kupata award na kutembea sijui morocco. marekani ni upi? .....Alaa kumbe najadili na bashite type,ni hivi jamaa ameelezea kwa kirefu kuhusu project yake ya kukodisha trekta na kulima mashamba ya watu kwa ujira maalumu,55k/eka,akaelezea changamoto na hatua alizopita kuanzia kukodisha hizo trekta,kupata dereva,usimamiaji mpaka faida iliyopatikana katika zoezi hilo.hyo ndio point ya msingi kwenye uzi wa jamaa,hayo mengine yalikuwa ni kunogesha tu,kama ni ya kweli ama laa wewe haikuhusu deal na point muhimu kuwa kuna fursa katika kilimo na sio tu kulima mazao fursa ipo pia katika mambo mengine yahusuyo kilimo kama logistics,milling,packaging na mengineyo,usipoelewa hapa huelewi tena.
Open English classes Mr I'm ready to be your first student.
Muulize mwenyewe,mana nmeshajua we shida yako ni kuleta ligi na sio kutafuta maendeleo.msome vizuri hiyo project sijui ya kukodisha mashamba ameifanya mwaka huu 2017....mimi swali langu ni huo ujasiriamali alioufanya kipindi yuko chuo uliomuwezesha kuwa mjasiriamali bora Africa na kupata award na kutembea sijui morocco. marekani ni upi? .....