Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8

Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8

Nenda beforwad kila kitu kipo wazi
Mkuu nadhani sikueleweka,huku nilipo wanauza hayo madubwasha,used mpaka dola 2000,sasa nlidhani serikali itakuwa imelegeza kidogo kwenye ushuru ninunue huku nitume huko niwe nalikodisha kwa watu dizaini ya kina ontario mwisho wa mwezi nachukua changu,siunajua kila fursa ina sub-fursa zake.sasa kwa maelezo nliyopewa na jamaa naambiwa TRA hawajui kabisa kama kuna policy inaitwa "kilimo kwanza",kodi iko juu sana.
 
Hahahaaa Strive Masiyiwa is my personal mentor, hata trh 12 April nitaenda kwake SA kwaajili ya consultation. Kama unamfatilia vzr Dr. Strive basi lazima utakuwa unanifahamu.

Huyu jamaa ni role model wa 'back child' yeyote Africa mwenye ambition ya kuwa successful kwenye biashara.
4e334c6b767e3df46d5af1a5e0f03e1a.jpg

Mkuu nimeshakufahamu vizuri sana.

Hongera kwa viwango vya namna hiyo endelea kuwahamasisha na Vijana wengine.

Kukutana na Strive na akukusikiliza sio jambo dogo.

Hongera sana japo wengine wanasema ni Stori ya kutunga na Na mimi nasema Kama ya kutunga basi ni Kipaji kikubwa ambacho wengi hatuna.
 
Ukisikia mtima nyongo ndio huo.Nina uhakika utakuwa masikini wewe,uzi mzuri kama huu umeacha kuchukua yale yenye faida ukajifunza kwayo umekalia kumjadili aliyeleta mada na maisha yake binafsi.acha roho mbaya mshamba wewe,wenye akili na busara wala hawana haja ya kumjua huyo ontario ni nani personaly wanadurusu uzi tu.This is a damn online forum for christ sake.
simpingi mtu but naongelea uhalisia......ujasiriamali sio rahisi hivi kama watu wengi wanavyofikiria
 
Mh Na miaka yangu Arobaini(40) nitatoboa kweli? Hapa nyumbani amekuja beki tatu nshaanza kumla, na leo nimesoma hii kitu imenitoa mate!

MESEJI KUBWA " Nikuchagua kitu kimoja concentrate"

Nilichokuwa nawaza muda wote nasoma huu uzi " Hivi Tanzania ina hazina watu kama huyu dogo halafu bashite ndiye anauza front page? why? Akasema mchangiaji mmoja hapo juu, huu uzi sio wa watu wote, ni kwa ajili wanaojitambua...

Mwisho, Hongera zako sana kijana, Ila Hakikisha kwenye outline zako/tips ziangalie usije ukazirudia mwenyewe, huwa inatokea, Muombe Mungu akuachie ufahamu.

Na Pongezi JF kwa kuuweka uzi huu kwenye News Bulletin

Pamoja Sana.
 
Tatizo lako njaa inakugonga ukiamini huko Lumumba watakupa pesa za bure bure na wewe uishi vizuri mjini..

Ulianza kwa Lowassa ukahama nae, baada ya kuona Ukawa hawatoi pesa ukarudi CCM na kuanza kumponda Lowassa na baada ya kuona Magu nae hawapi pesa UVCCM ndio umechanganyikiwa kabisa hasa unavyosikia vijana wenzako wanatengeneza mamillion ya pesa ndani ya mwezi mmoja tu..

We endelea kukata viuno kwa wanasiasa ukifikiri ndio njia nyepesi kutajirika..
unawaza siasa muda wote hopeless fellow njoo nikuajiri kama huna kazi
 
simpingi mtu but naongelea uhalisia......ujasiriamali sio rahisi hivi kama watu wengi wanavyofikiria
Wapi katika bandiko lake amesema ni rahisi,acha ufala kukimbilia kukoment kabla hujasoma vizuri kilichoandikwa,wajasiriamali tupo hapa na tumemwelewa vizuri.au ilitaka aende na wewe stone island?
 
Wapi katika bandiko lake amesema ni rahisi,acha ufala kukimbilia kukoment kabla hujasoma vizuri kilichoandikwa,wajasiriamali tupo hapa na tumemwelewa vizuri.au ilitaka aende na wewe stone island?
dah yaani unamuelewa mtu hata huo ujasiriamali wenyewe hajakuambia ulikuwa wa nini? ehe tuambie alikuwa anafanya ujasiriamali gani huko chuoni? alianza na mtaji sh ngapi na alipata faida sh ngapi? mpaka utajwe kuwa mjasiriamali wa afirica ina maana umetengeneza faida ya kutosha
 
Kiukweli nimeusoma huu uzi nafsi ikanisuta kabisa yaani nikahisi natakiwa kulipia gharama za uendeshaji kwa kufanikisha kazi hii nzuri ya kimajumuhi ONTARIO

Since i came across this noble writings I'm not the same person as I used to be anymore.

Maandishi murua sana haya, muhimu watu wayasome na kuyatafakari.
 
dah yaani unamuelewa mtu hata huo ujasiriamali wenyewe hajakuambia ulikuwa wa nini? ehe tuambie alikuwa anafanya ujasiriamali gani huko chuoni? alianza na mtaji sh ngapi na alipata faida sh ngapi? mpaka utajwe kuwa mjasiriamali wa afirica ina maana umetengeneza faida ya kutosha
Alaa kumbe najadili na bashite type,ni hivi jamaa ameelezea kwa kirefu kuhusu project yake ya kukodisha trekta na kulima mashamba ya watu kwa ujira maalumu,55k/eka,akaelezea changamoto na hatua alizopita kuanzia kukodisha hizo trekta,kupata dereva,usimamiaji mpaka faida iliyopatikana katika zoezi hilo.hyo ndio point ya msingi kwenye uzi wa jamaa,hayo mengine yalikuwa ni kunogesha tu,kama ni ya kweli ama laa wewe haikuhusu deal na point muhimu kuwa kuna fursa katika kilimo na sio tu kulima mazao fursa ipo pia katika mambo mengine yahusuyo kilimo kama logistics,milling,packaging na mengineyo,usipoelewa hapa huelewi tena.
 
msome vizuri hiyo project sijui ya kukodisha mashamba ameifanya mwaka huu 2017....mimi swali langu ni huo ujasiriamali alioufanya kipindi yuko chuo uliomuwezesha kuwa mjasiriamali bora Africa na kupata award na kutembea sijui morocco. marekani ni upi? .....
 
Ubarikiwe sana mkuu ONTARIO uzi wako umesimama sana.
Naamini mimi na wenzangu tumepata cha kitu adimu , na hakika umeitumia
vema "talanta" aliyokupa maanani mwingi wa rehema.

ushauri: Tafadhari sana nyinyi viongozi na wasimamizi wa mijadala na maudhuhi (BASATA wa JF) naomba muweke uzi huu uwe STICK kbaisa usitoke , Mkiongozwa na ndugu Mod 1 Mod 2 Mod 3 Mod 4 ,Mod 5 Maxence Melo Fang Mhariri Paw Active INNOVATOR Bridger
 
msome vizuri hiyo project sijui ya kukodisha mashamba ameifanya mwaka huu 2017....mimi swali langu ni huo ujasiriamali alioufanya kipindi yuko chuo uliomuwezesha kuwa mjasiriamali bora Africa na kupata award na kutembea sijui morocco. marekani ni upi? .....
Muulize mwenyewe,mana nmeshajua we shida yako ni kuleta ligi na sio kutafuta maendeleo.
 
Back
Top Bottom