Nikweli mkuu. Lakini kiongozi wabongo hawataki hilo, wanapenda kusikia habari ya 'beach party' ama 'All white party'. Hapa umeona nikikejeliwa kuwa mimi ni tapeli, mimi ni muongo. Ni watu hawa hawa wapo hadi huko mavyuoni.Lovely. Kaka omba jukwaa la vijana hata pale UDSM then Speak about it.This is very inspiring and I am sure utawafungua macho vijana Wengi.
Kijana wangu Ramaah, ni mshkaji wangu sana huyo. Pamoja sana kiongozi wangu. Kuna kina bashitez hapa wananiita tapeli mkuu. Hahha!Hongera sana ONTARIO. Mimi kwa kuwa nakujuwa sina haja na ID yko. Najuwa fika ww Umemaliza mwaka jana pale UDSM. Na pia umesoma na kaka yangu Rama Presidaa. Kiukweli mimi huwa mfuatiliaji sana wa mambo yako. Sitaki kutaji ID yako ya FB ambayo pia huko tupo marafiki but hongera na tunajifunza pia. Umeni inspire sana, na nadhan umeamua kuja kumwaga faida huku JF.
Hongera Mkuu, basi Karibu Dumila na Moro twn, mwaka jana b4 sijaja town ktk ufuatiliaji wa Project zangu, aliniambia kuwa ungependa kuwekeza Dumila. Achana na hao wanakuita bashite, mm ninaekufahamu ingawaje bado hatujakutana YOU ARE ICON NOW. Vp biashara ya kuku?Kijana wangu Ramaah, ni mshkaji wangu sana huyo. Pamoja sana kiongozi wangu. Kuna kina bashitez hapa wananiita tapeli mkuu. Hahha!
Kweli ubashite unalipa si umemuona mwenye jina.....anapenda!kweli mkuu, ngoja niache ubashite nifanye kazi
We jamaa una akili sana kwanini wasikupe Ukuu wa Mkoa Dar?ni kweli Ontario ni motivation speaker mzuri sana inaonekana kuna NGO anafanya kazi inayojihusisha na mambo ya kuwa motivate na kuinspire watu mbali mbali shunguli za kilimo..story yake iko kinadharia sana kuliko ukweli halisi ulioko shambani........kutengeneza hizo faida ndani ya siku 35 ni jambo ambalo halipo kiuhalisia....kilimo nakijua sana na wenye matrekta nawajua wengi hawajawahi kutengeneza hiyo faida kwa muda mfupi hivyo....wakulima wengi wa kijijini ni masikini hawategemei sana kulimiwa na matrekta lada jembe la Plau na wenye mashamba makubwa wana wengi wana matrekta yao .
Kuna project yangu nayo ni mojawapo kati ya unazozifanya ila still inanipa changamoto fulan hapa mwanzon ila ninaamini with time ntakaa sawa tu mbeleniNashukuru sana kiongozi. Tuko pa1 sana boss wangu.
Sio siri nnawaheshimu sana wale mamillionares wanaomaintain low profile kuliko wale wapiga makeleleYes mkuu ndo huyu, ni moja wa inspirational speaker wa bongo nnae mfaham na anatembea sana ma posta huko na mavyuon had kwene media kubwa kubwa hizi ku-inspire watu
The Man is gifted......afu ukimuona hivi uwezi amini kama jamaa ndo ashakua millionare.
Ufugaji wa kuku? Kilimo cha bustani? Kilimo cha mpunga? Kilimo cha mahindi? Kilimo cha cabbages? Ama kusaga chakula cha kuk?Kuna project yangu nayo ni mojawapo kati ya unazozifanya ila still inanipa changamoto fulan hapa mwanzon ila ninaamini with time ntakaa sawa tu mbeleni
hizo trekta mbili zote alizitumia hebu soma vizuriHii hadithi yako imenichosha kwenye hatua za awali. Massey Wenger kwenye maandishi lakini kwenye picha naona Mahindra Chakraboth
Mi niliisoma Gazeti la MwananchiPamoja sana mkuu.
Ulisoma wapi mkuu, I mean source gani?!