Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8

Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8

Hii thread nilijua ni comedy. Hongera kijana, naamini after sometime utaanza kuexport mazao nje kwa wingi.
 
Lovely. Kaka omba jukwaa la vijana hata pale UDSM then Speak about it.This is very inspiring and I am sure utawafungua macho vijana Wengi.
 
Lovely. Kaka omba jukwaa la vijana hata pale UDSM then Speak about it.This is very inspiring and I am sure utawafungua macho vijana Wengi.
Nikweli mkuu. Lakini kiongozi wabongo hawataki hilo, wanapenda kusikia habari ya 'beach party' ama 'All white party'. Hapa umeona nikikejeliwa kuwa mimi ni tapeli, mimi ni muongo. Ni watu hawa hawa wapo hadi huko mavyuoni.
 
Hongera sana ONTARIO. Mimi kwa kuwa nakujuwa sina haja na ID yko. Najuwa fika ww Umemaliza mwaka jana pale UDSM. Na pia umesoma na kaka yangu Rama Presidaa. Kiukweli mimi huwa mfuatiliaji sana wa mambo yako. Sitaki kutaji ID yako ya FB ambayo pia huko tupo marafiki but hongera na tunajifunza pia. Umeni inspire sana, na nadhan umeamua kuja kumwaga faida huku JF.
 
Kijana wangu Ramaah, ni mshkaji wangu sana huyo. Pamoja sana kiongozi wangu. Kuna kina bashitez hapa wananiita tapeli mkuu. Hahha!
 
Kijana wangu Ramaah, ni mshkaji wangu sana huyo. Pamoja sana kiongozi wangu. Kuna kina bashitez hapa wananiita tapeli mkuu. Hahha!
Hongera Mkuu, basi Karibu Dumila na Moro twn, mwaka jana b4 sijaja town ktk ufuatiliaji wa Project zangu, aliniambia kuwa ungependa kuwekeza Dumila. Achana na hao wanakuita bashite, mm ninaekufahamu ingawaje bado hatujakutana YOU ARE ICON NOW. Vp biashara ya kuku?
 
ni kweli Ontario ni motivation speaker mzuri sana inaonekana kuna NGO anafanya kazi inayojihusisha na mambo ya kuwa motivate na kuinspire watu mbali mbali shunguli za kilimo..story yake iko kinadharia sana kuliko ukweli halisi ulioko shambani........kutengeneza hizo faida ndani ya siku 35 ni jambo ambalo halipo kiuhalisia....kilimo nakijua sana na wenye matrekta nawajua wengi hawajawahi kutengeneza hiyo faida kwa muda mfupi hivyo....wakulima wengi wa kijijini ni masikini hawategemei sana kulimiwa na matrekta lada jembe la Plau na wenye mashamba makubwa wana wengi wana matrekta yao .
We jamaa una akili sana kwanini wasikupe Ukuu wa Mkoa Dar?

Mimi mwenyewe nimeenda kwenye profile yake na kuona thread zake ni Muandika Story Mzuri sana.
 
Nashukuru sana kiongozi. Tuko pa1 sana boss wangu.
Kuna project yangu nayo ni mojawapo kati ya unazozifanya ila still inanipa changamoto fulan hapa mwanzon ila ninaamini with time ntakaa sawa tu mbeleni
 
Yes mkuu ndo huyu, ni moja wa inspirational speaker wa bongo nnae mfaham na anatembea sana ma posta huko na mavyuon had kwene media kubwa kubwa hizi ku-inspire watu

The Man is gifted......afu ukimuona hivi uwezi amini kama jamaa ndo ashakua millionare.
Sio siri nnawaheshimu sana wale mamillionares wanaomaintain low profile kuliko wale wapiga makelele
 
Kuna project yangu nayo ni mojawapo kati ya unazozifanya ila still inanipa changamoto fulan hapa mwanzon ila ninaamini with time ntakaa sawa tu mbeleni
Ufugaji wa kuku? Kilimo cha bustani? Kilimo cha mpunga? Kilimo cha mahindi? Kilimo cha cabbages? Ama kusaga chakula cha kuk?

Umekwama wapi ndugu?!
 
Mafunzo haya kwa vitendo yamenifungua macho saaana! Asante sana, na ubarikiwe sana kwa kueleza bila choyo chochote! Hii ni elimu kubwa!
 
Mi niliisoma Gazeti la Mwananchi
Yah! Niliwahi kufanya nao interview, siku ambayo walichapisha habari yangu sikuwa nchini, so sijawahi kuiona. But nafurahi kama ulisoma na kuwa motivated.
 
Back
Top Bottom