Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8

ONTARIO kaka wew ni bonge la mjasiriamali aisee umeni inspire sanaaaaa. Mi nimeajirirwa lakin inaniuma sanaa naumia lin ntatoka kwenye gereza hili coz kuajiriwa sio ndoto yangu kabsaa. My dream is to own mine, instead of being a slave of some one. Big up bro.
 
6. Jimegee 'kakibangala' chako

Mkuu nashukuru sana kwenye hii pointi, hii pointi ndio kakibangala changu.
Umenisaidia sana kwani kuna project nilikuwa naitoa kwa sababu nimekuta mshindani wangu anaitumia kama kipengele kwenye project yake kubwa. Sasa hiki nakichukua kama kibangala change. Nakitenga sehemu ya peke yake halafu naifanya kwa ubunifu na kiwango cha juu kabisa.
Yaani haujui ulichoweka kichwani mwangu leo
 
Safi sana mkuu. Let's get rich together.

Nimefurahi sana kwa busara uliyotumia ya kung'oa sentensi 1 tu - kuna mijitu mingine hua inaquote uzi mzima.
 
Dah kuna vijana wengine ukiwasikiliza unajiuliza WTF am i doing in this world...ila ngoja tuendelee tu na kokoro za kanji,one day yes!
 
Nashukuru kwa msaada japo sijaona hicho kiduara
Mkuu,Hapo juu Yaani wala Hata Uso quote Huo uzi. You just watch up bars after finishing to read this comment then angalia juu upande wa kulia
 
Wanao crush ni wale walofeli.
kweli Mkuu [emoji817] pace
Ipo hivi usipo kubali mafanikio ya mwenzako ndivyo itakavyo kuwa ngumu kwako Pia kufikia mafanikio yako binafsi maana hauwezi kupata kitu ambocho akili yako inakipinga. Utabaki ukisema watu wanatumia uchawi kumbe mchawi Ni Wewe mwenyewe so let us show appreciation to this man ONTARIO he deserves it. Hivyo tu.
 
W
Well said.......iiiiii
 
Wakati nikisoma social entrepreneurship,, professor wa ki Dutch aliandika paper kwa kusema hivi"Kuna watu wanakaa na bila kiziona,,, wengine wanaziona lakini hawazifanyii kazi,,lakini wapo wachache hakai nazo,but wanapoziona tu wanazichangamkia Na kuzifanyia kazi...Mimi nimekusoma Na kukuelewa,,tutawahitaji vijana wengi kama wewe ili tuweze kuijenga Tanzania mpya ya viwanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…