ufyudhi
JF-Expert Member
- Apr 29, 2015
- 772
- 538
Wengi watapuuza haya na wegine hawatakuelewa..
Kipindi sijaanza ujasiliamali nilikua nasoma mabandiko km haya lkn nlikua siyaelewi... Nilipoanza kufanya ujasiliamali ndo nikaja kuyaelewa haya... Yani ni kama vile imani ya kidini.. Unahitaji chakula cha roho kila siku ili upate nguvu ya kupambana... Barikiwa kila uhemapo(kasoro kuhema hewa chafu tu)