Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8

Hii hadithi yako imenichosha kwenye hatua za awali. Massey Wenger kwenye maandishi lakini kwenye picha naona Mahindra Chakraboth
Ndugu mwana mtoka pabaya, umeisoma mada hii kwa utulivu kweli?, Mimi nadhani umekosea au umepitiwa kidogo mahali fulani wakati unasoma.
Mwandishi alikuwa makini sana kuwasilisha mada yake, hebu jaribu kusoma tena kwa utulivu maelezo yaliojuu ya picha hio alioweka mtoa mada. Na kumbuka amesema alikuwa na tractor mbili, Massey Ferguson aliyoanza nayo na baadae akakodi hio mahindra HP.
Nikutakie usomaji mwema ndugu na kama utapata funzo fulani basi itakuwa vyema zaidi.
 
Vizuri kijana umetoa motivation kubwa inafaa.
Nimeipenda ubarikiwe!!
 
Ukiona mtu hataki kuweka real ID na picha yake ujue ana maana yake.. Usipende kufanya hvyo mkuu mbona wngne tunamjua sana ila hatujamtaja!
 
Usisahau kulipia kodi ya serikali TZS (19,900,000 - 720,000) *30% +98,100 = 5,852,100
 
Nimepata mafunzo mawili
 
Hizi ndizo strory ambazo hata kiranja mkuu anazitaka, big up mkuu ONTARIO. [HASHTAG]#Hapakazitu[/HASHTAG].
 
Unajua agriculture na kodi wapoje?.
Hahahaa yani humu kuna watu wa ajabu sana, wazungu husema 'trying to fit in'. Yani mtu anajipenyeza nae aonekane kuwa ni mjuzi wa mambo. Wapi hapa TZ mkulima wa primary production analipa kodi?!
 
Mimi tangu nimesoma hii threads...sijalala...nawaza sana...na mimi nataka kujaribu...nahisi kuchelewa tu..na wengine..wenye msaada wa jinsi ya kutoka watusaidie..kuweka humu..tusome wenye kuchukua tuchukue wasiotaka waache..tu..
 
Mimi tangu nimesoma hii threads...sijalala...nawaza sana...na mimi nataka kujaribu...nahisi kuchelewa tu..na wengine..wenye msaada wa jinsi ya kutoka watusaidie..kuweka humu..tusome wenye kuchukua tuchukue wasiotaka waache..tu..
Da inabidi uumize sana kichwa. Tafuta tatizo leta suluhisho utapata pesa.
 
Nimemaliza kusoma uzi wote mpaka post number 351 mengi nimeyasoma nimeyaelewa Nimejifunza pia you rise my ego
what i can say Great is Thy Faithfulness who lead me to read that thread
 
Kwahiyo unamaanisha ninaweza kukodisha gari ya mizigo then nikaja kupiga kazi ya kubeba magunia kwenye miezi hiyo mitatu?
 
unaweza elezea zaidi mkuu??
 
Kwahiyo unamaanisha ninaweza kukodisha gari ya mizigo then nikaja kupiga kazi ya kubeba magunia kwenye miezi hiyo mitatu?
Kwa gari utapat shida sana pia unaweza pata hasara. Kumbuka utatakiwa kuingia ndani mashambani na magari hayana ngv kama trekta.
 
So
Nyuzi kama hizi zinanisisimua sana anyway umenipa challenge sana kiongozi
mo kubwa nililopata kwenye huu uzi ni upatikanaji wa ardhi kwa mkoa wa Pwani. Ngoja nijiwekeze huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…