Lovely. Kaka omba jukwaa la vijana hata pale UDSM then Speak about it.This is very inspiring and I am sure utawafungua macho vijana Wengi.
Kuna watu ni vichaa kichwani. Jitu pu.mbavu ka hilo usikute labda hata alikua anatafuta likes, au anatafuta njia ya kutapeli watu.Kweli kuna watu wajinga ulimwenguni,mtu kasema ulifuchue id yake kama unamjua,lakini mjinga mmoja anatokeza
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Kuna watu ni vichaa kichwani. Jitu pu.mbavu ka hilo usikute labda hata alikua anatafuta likes, au anatafuta njia ya kutapeli watu.
Hata kama ni muongo ila kuna kitu umepata hapo endelea kusema ni uwongo mbona hatavitabu ziko fictional nyiiing ila zinasaidia watu hebu tuandikie na we we ukwl wako mkuu kama huyu ni mwongo watu wengine bwana akajisemea MTU mmoja masikini utamjua kwa mwandiko wake tuWewe ni muongo hicho kipaji chako cha kutunga history za uongo kipeleke grobal publisher watakusaidia
NimekusomaMkuu sidhani km nitaweza kukujibu kama umenitumia PM, post #2 nimeweka wazi kuwa sijibu PM kwa namna yoyote ile. Hope utanielewa.
Alafu formula yake ni PAYE ina apply kwa walioajiriwa sio kila sehemu vinginevyo watu wangefunga uwekezaji kama PAYE ingekuwa ina apply kwenye kilimo na shughuli nyingineUnajua agriculture na kodi wapoje?.
Umetoa ujumbe mzuri sana, thanks for sharingPamoja sana ndugu.
Iko hivi Dinazarde.ONTARIO nieleweshe kuhusu hii link plz
https://mwanzahotgirls.wordpress.co...-pesa-mtandaoni-kupitia-simu-yako-ya-mkononi/
Wanasema eti inazinduliwa april,,asante kwa kunielewesha shukraniIko hivi Dinazarde.
Sijasoma hadi mwisho lakini hiyo ni cryptocurrency ama kwa lugha raisi ni digital money, mfano mzuri ni bitcoin ambayo juzi thamani yake iliizidi thamani ya dhahabu katika soko la kimataifa.
Mimi nakushauri usiwekeze pesa yako kwa hao vibaka, naeza sema vibaka kumaanisha scammers. Kwasababu zifuatazo;-
1. Cryptocurrency yoyite lazima iwe standardised kimataifa, yani mfano mzuri ni ukitaka kununua whitedent original lazima iwe imepita TBS. Sasa digital currency yoyote lazima ithibitishwe na CCSS - CryptoCurrency Security Standard. Sasa hao hawana hiyo kitu.
2. CryptoCurrency nyingi huwa ziko devalued, yani hazina thamani. Hapo sijui wamesema thamani yake ni kiasi gani, lkn nafahamu by any means hiyo thamani itakuwa ipo overrated. Kwamba hata ukiinunua leo unaweza kukaa miaka 50 haijafika thamani halisi uliyoinunua.
3. Uimara wa fedha. Sithani hiyo currency iko imara kiasi cha kuweza kuappreciate with time. Sioni hiyo coz ni imekaa kilocal local.
Kama unataka kuwekeza kwenye hiyo kitu bora ununue Litecoin, Dogecoin, Blackcoin, bitcoin japo rate yake ya ukuaje imeshuka. Mtu aliyenunua bitcoin 1 mwaka jana April kwa $450 leo anauza bitcoin kwa $1200.