Mkuu hongera sana, binafsi nahitaji kupata japo direction toka kwako mkuu, nimehitimu udsm mwaka jana bt ajira ndio hvyo tena.. Naomba unipe mwanga wa pakuanzia mkuu, iwe biashara au kilimo ni sawa tuu.. Nina kamtaji kiasi flani hvi. Natanguliza shukrani. Siwagi online sana ila napatikana hapa 0752 399070Much thanks my biggest boss Kobe
Uko sahihi sana daaaaSubscribed this post
Mkuu ungekuwa specific huo mtaji mdogo kwako unaanzia kiasi gani?!Kila jambo jema limeongelewa katika huu uzi asee, mimi natoa shukran zangu za dhati najiona mpyaa baada ya kusoma mawazo haya mkuu ONTARIO.
Ila nna ombi moja kama unaweza mshauri mtu anayetafuta mtaji hata mdogo sana aanzie wapi maana hili nalo ni tatizo
All in all thank you brother
Kama hii ni 1 ya 'business model' ama 'strategy' ya biashara yako basi jiandae kufail. Mimi nilivyoanza nilikua nina agenda zangu - hayo mengine yote yalitokea on the process. Wananitafuta wenyewe Twitter, LinkedIn, FB na email pia iliyopo kwa web yangu.Mkuu nahitaji kujua kuhusu hizo media za kimataifa uliwasiliano vipi mpaka ukawa featured kwenye media zao, ulivyowasiliana nao ??
Nimeuliza kwasababu nilivyoona Amorrette ya Jack Mengi Forbes nikajua tu lazima kuna connection kazifanya au kafanyiwa na MengiKama hii ni 1 ya 'business model' ama 'strategy' ya biashara yako basi jiandae kufail. Mimi nilivyoanza nilikua nina agenda zangu - hayo mengine yote yalitokea on the process. Wananitafuta wenyewe Twitter, LinkedIn, FB na email pia iliyopo kwa web yangu.
Ila una mihemko sana ya kibavicha kijana punguza "Mihemko"Kama hii ni 1 ya 'business model' ama 'strategy' ya biashara yako basi jiandae kufail. Mimi nilivyoanza nilikua nina agenda zangu - hayo mengine yote yalitokea on the process. Wananitafuta wenyewe Twitter, LinkedIn, FB na email pia iliyopo kwa web yangu.
Soma post # 393 nilivyomjibu huyo mdau wangu wa nguvu.Mkuu ANTARIO umenipotezea mkuu, nimekuomba msaada na nimeweka no yngu hapo juu.
Mimi Nadhani mtaji wako huo unaodhani ni kidogo ungeutaja angeanzia hapo kukushauri alisisitiza hatowasiliana na mtu yeyote wala kujibu pmMkuu hongera sana, binafsi nahitaji kupata japo direction toka kwako mkuu, nimehitimu udsm mwaka jana bt ajira ndio hvyo tena.. Naomba unipe mwanga wa pakuanzia mkuu, iwe biashara au kilimo ni sawa tuu.. Nina kamtaji kiasi flani hvi. Natanguliza shukrani. Siwagi online sana ila napatikana hapa 0752 399070