Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ila dogo uwe makini na afya yako maana naona tb kwako ipo nje nje.unywe maziwa sana
Niko chuo mwaka wa Pili sasa kuna kijisehemu najitolea naweka akiba naamini mpaka nikimaliza mwakani nitakua na chakuanzia hope tutapata mengi kutoka kwako bro.Na hii ndio raha ya JF. Asante kwa kushare mkuu. Very interesting
Huu uzi wako ni mrefu sana kiasi kwamba imenibidi nifanye scanning na skimming.
Kuna vitu umerudia ruda, jitahid ku summarize
Ulimu ina tabia 1 ya kumpumbaza mtu... mimi niliamua niipuuze, nilikua nawaona maProf pale chuo wanashindwa kusimamia miradi yao ya kuku 500 tu.Nimeusoma uzi wote na nimepitia Comment moja baada ya nyingine. Nimejifunza kitu na sio siri i feel very much ashamed. After 4 years in a University and here i am waiting for employment from the government! Salute kwako ONTARIO !
Hii ya mifugo I real need kujifunzaUlimu ina tabia 1 ya kumpumbaza mtu... mimi niliamua niipuuze, nilikua nawaona maProf pale chuo wanashindwa kusimamia miradi yao ya kuku 500 tu.
I am interested!NilishamBlock.
Do you trade commodity, stock, features, forex??
It's a very broad thing huwezi kujifunza kwa text, mimi currently nafanya forex trading na ninajifunza binary options. Kwa ufupi forex trading ndio market yenye liquidity kubwa kuliko zote duniani. Yani tuseme ni soko lenye mzunguko wa pesa nyingi kuliko soko lolote duniani, ambapo kwa siku kuna mzunguko wa $3.5 trillion.I am interested!
How do they work?
Unajifunzia wapi?It's a very broad thing huwezi kujifunza kwa text, mimi currently nafanya forex trading na ninajifunza binary options. Kwa ufupi forex trading ndio market yenye liquidity kubwa kuliko zote duniani. Yani tuseme ni soko lenye mzunguko wa pesa nyingi kuliko soko lolote duniani, ambapo kwa siku kuna mzunguko wa $3.5 trillion.
Hii kitu bado ni mbichi sana Tanzania, hata kuna bank hawana utaalamu wa day-to-day trading. Lkn wenzetu SA trading forex ilianza mapema, ukiingia Google utakutana na watoto kama kina Sandile Shezi wa GFI, dogo ndio the youngest millionaire in Afr, alidrop out of college na kuanza trading forex.
Ni kitu ambacho hutoki jasho hata tone 1, lkn ubongo lazima usikipizie maumizu![]()
Nampata huyu dogo I wish ungemfahamu in real life. Anajitahidi kwa umri wake na atafika mbali sana...Kama wewe umeshindwa kumfahamu huyu dogo basi upo mbali sana na ramani za hela ila kama ni mtu mpiganaji utamfahamu tu huyu dogo sababu lazima utakutana naye tu pahali katika harakatitatizo lako sijui unajishtukia si ueleze tu ni nini ukishindwa hoja unakuja na kashfa sasa wewe umetusua nini hakuna mtu anaingiza million 9 kwa siku acha uongo wewe kuajiriwa hapo kwa NGO ndio umeshajiona umetusua hahaha
kafungue uzi wako wapo watu wanafaidika na hii elimu sio lazima uchangie...hahahah namueleza huyo jamaa wakati anazaliwa mimi niko Marekani naangalia pambano la MIKE TYSON NA FRANK BRUNO....Halafu anataka kushindana na mimi?
Unazungumziaje Swala La Mikopo Je Ushawahi Kukopa Kwa Ajili ya Biashara zako?Sio Bongo.
SA kubwa upo pande za wapi? Nimekusoma kwy inshu ya Option(in the money/out the money)!Nicheki Sept mkuu wangu, sasa hivi nitakudanganya - trh 18 nasepa TZ ntakaa huko muda mrf kidogo.