Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8

Kazi nzuri ONTARIO, wenye entrepreneurial mindset wanakuelewa bila maswali. Mafanikio ndio motivation, lakini unatakiwa uwe passionate na kile unachokifanya kwasababu passion ndio inakufanya usi quit magumu yanapotokea. Naysayers ni wengi ndio maana kwenye nchi zote 1% ya watu ndio wanamiliki 90 ya uchumi wote kama sikosei. Hi imezidi kupigilia msumari kwenye yale ninayoyaamini. Ahsante kwa kushare.
 
Huu uzi wako ni mrefu sana kiasi kwamba imenibidi nifanye scanning na skimming.
Kuna vitu umerudia ruda, jitahid ku summarize

Jamani - mkoje lakini? Huyu si mtu wa kubeza beza hata kidogo, kwani nani kakulazimisha usome uzi wake. Watanzania kujifanya kukosoa kosoa - basi kama unajiona ni mkali zaidi ya ONTARIO tuletee uzi mbadala wenye mshiko tuone wangapi wataku-support. Binafsi sikupendezwa na unfortunate remarks zako nasikitika kulisema hilo, I hope uta amend your behaviour next time.
 
Nimeusoma uzi wote na nimepitia Comment moja baada ya nyingine. Nimejifunza kitu na sio siri i feel very much ashamed. After 4 years in a University and here i am waiting for employment from the government! Salute kwako ONTARIO !
 
Hata siasa unaweza,ww unaweza kufanikiwa kila nyanja unafikiria nje ya box.....salute smart boy.
 
Nimeusoma uzi wote na nimepitia Comment moja baada ya nyingine. Nimejifunza kitu na sio siri i feel very much ashamed. After 4 years in a University and here i am waiting for employment from the government! Salute kwako ONTARIO !
Ulimu ina tabia 1 ya kumpumbaza mtu... mimi niliamua niipuuze, nilikua nawaona maProf pale chuo wanashindwa kusimamia miradi yao ya kuku 500 tu.
 
I am interested!

How do they work?
It's a very broad thing huwezi kujifunza kwa text, mimi currently nafanya forex trading na ninajifunza binary options. Kwa ufupi forex trading ndio market yenye liquidity kubwa kuliko zote duniani. Yani tuseme ni soko lenye mzunguko wa pesa nyingi kuliko soko lolote duniani, ambapo kwa siku kuna mzunguko wa $3.5 trillion.

Hii kitu bado ni mbichi sana Tanzania, hata kuna bank hawana utaalamu wa day-to-day trading. Lkn wenzetu SA trading forex ilianza mapema, ukiingia Google utakutana na watoto kama kina Sandile Shezi wa GFI, dogo ndio the youngest millionaire in Afr, alidrop out of college na kuanza trading forex.

Ni kitu ambacho hutoki jasho hata tone 1, lkn ubongo lazima usikipizie maumizu
 
Unajifunzia wapi?
 
tatizo lako sijui unajishtukia si ueleze tu ni nini ukishindwa hoja unakuja na kashfa sasa wewe umetusua nini hakuna mtu anaingiza million 9 kwa siku acha uongo wewe kuajiriwa hapo kwa NGO ndio umeshajiona umetusua hahaha
Nampata huyu dogo I wish ungemfahamu in real life. Anajitahidi kwa umri wake na atafika mbali sana...Kama wewe umeshindwa kumfahamu huyu dogo basi upo mbali sana na ramani za hela ila kama ni mtu mpiganaji utamfahamu tu huyu dogo sababu lazima utakutana naye tu pahali katika harakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…