I can give you some booksJe kuna vitabu vyovyote ambavyo ungependekeza watu wajisomee kwanza, ili wawe na ufahamu wa kutosha, kabla ya kuingia kwenye hii biashara ya FOREX?
Ahsante kwa msaada wako kat hili.
Tupia hapa simon41, wote tupateI can give you some books
Boss, I think this is the most touching feedback tangu nimepost hii thread. Na tayari nilishafunga uzi, nikasema sitajibu post yoyote hapa. Nimefurahi kua huu uzi umebadili watu japo kuna wachache walijaribu kuniattach.
Samahani nimechelewa kujibu, apparently nipo SA kwa wiki ya 3 sasa, and I've been moving here and there, Jozi, Pretoria, Rustenburg, Durban yani sijasettle.
Please! Kama unataka kubadili maisha yako, tenga $3000. Ingia kwa FOREX, but watch out usiingie mzima mzima. Knowledge and skills is the 1st thing you need to invest into, narudi Bongo katikati ya huu mwezi. Please send me a PM (utakua the 1st person nakujibu PM), ntakusaidia kudouble $3000 ndani ya week 2.
Cheers
Nashukuru sana.I can give you some books
Okay okayMkuu ONTARIO kuna mdau kaanzisha kundi kwa ajili ya kupeana uzoefu juu ya Forex,ninaomba utujoini kama hutojali hata kwa muda mfupi tu utupe uzoefu hata namna ya kufanya biashara ya Forex........link ya kujiunga na kundi ForexTz 101
Mkuu mie nachungulia tuu kwa mbali jinsi watu watakavyo liwa....tayari mtu kaambiwa aandae $3000......UTAPELI HUU
Unadanganya watu tu,
Kama umemaliza chuo 2016 nwez wa 8 , tena kozi ya miaka minne ya OIL AND GAS
ina maana wewe chuo umeanza mwaka 2012
Na hapo hapo unadai Ulienda JKT baada ya form 6.
Wewe ni muongo na tapeli
Program ya kwenda jkt imeanza kwa form 6 waliomaliza 2013.
Hivo mpaka hapo hii ni story ya kutunga yenye malengo binafsi.
Kwa maelezo yako kipindi ukiwa COET umezunguka sana nchi nyingi, umefanya biashara na semina,
Kwa maelezo hayo ,tu COET ungedisco au usingemaliza chuo.
NARUDIA WEWE NI TAPELI MKUBWA
ngoja niishie hapa kabla sijakuumbua zaidi
UTAPELI HUU
Unadanganya watu tu,
Kama umemaliza chuo 2016 nwez wa 8 , tena kozi ya miaka minne ya OIL AND GAS
ina maana wewe chuo umeanza mwaka 2012
Na hapo hapo unadai Ulienda JKT baada ya form 6.
Wewe ni muongo na tapeli
Program ya kwenda jkt imeanza kwa form 6 waliomaliza 2013.
Hivo mpaka hapo hii ni story ya kutunga yenye malengo binafsi.
Kwa maelezo yako kipindi ukiwa COET umezunguka sana nchi nyingi, umefanya biashara na semina,
Kwa maelezo hayo ,tu COET ungedisco au usingemaliza chuo.
NARUDIA WEWE NI TAPELI MKUBWA
ngoja niishie hapa kabla sijakuumbua zaidi
What he says ni true. Nafikiri wewe humfahamu. Ila tunaomfahamu tunajua ni kweli ndo maana kwenye uzi amesema tusiitoe identity yake halisi sababu anajua wapo wengi wanaomfahamu...Kuna award fulani alishinda katika mambo ya biashara zake na alikuwa anazunguka sana.. Ila ishu alikuwa ana balance vipi na shule yeye ndo atatueleza ila nafahamu alikuwa anasafiri sana kipindi bado anasoma mwaka jana. Na ameshawahi ku appear kwenye magazeti na maefanya interview kwenye radio stations...Mwenyewe ndo anaweza kutoa identity yake lakini mimi sintoweza kuishare...Ni kijana mdogo lakini ana mawazo makubwa ya ujasiriamali. Kwa hiyo tusipende tu kuongea vitu tusivyokuwa na uhakika navyo hasa kwa mtu ambaye humjui. Wapo vijana wanafanya mambo makubwa ila inabidi uwe na exposure kuwafahamu. Ni mara kumi ukakakaa kimya sababu unatumia akili ndogo zaidi katika kujaribu kuwaelewa watu wenye akili kubwa. Inabidi uwe mfuatiliaji wa mambo ya entrepreneurship kwa Tanzania ili ujue ni vijana gani wana make headlines kwenye entrepreneurship na wanaonyesha dalili za kuja kuwa wafanyabiashara wakubwa kwa baadaye..UTAPELI HUU
Unadanganya watu tu,
Kama umemaliza chuo 2016 nwez wa 8 , tena kozi ya miaka minne ya OIL AND GAS
ina maana wewe chuo umeanza mwaka 2012
Na hapo hapo unadai Ulienda JKT baada ya form 6.
Wewe ni muongo na tapeli
Program ya kwenda jkt imeanza kwa form 6 waliomaliza 2013.
Hivo mpaka hapo hii ni story ya kutunga yenye malengo binafsi.
Kwa maelezo yako kipindi ukiwa COET umezunguka sana nchi nyingi, umefanya biashara na semina,
Kwa maelezo hayo ,tu COET ungedisco au usingemaliza chuo.
NARUDIA WEWE NI TAPELI MKUBWA
ngoja niishie hapa kabla sijakuumbua zaidi
Mkuu mie nachungulia tuu kwa mbali jinsi watu watakavyo liwa....tayari mtu kaambiwa aandae $3000......
Boss mimi ni mtu mmoja ambae nninaEmbrace sana 'diversity'. Nakubaliana na fact kua Mungu alituumba kila mtu kwa namna yake tofauti, ndio maana wote tunaeza kua na opportunity sawa, lkn tukatofautiana kwenye kuExecute hizo opportunities. Na mwisho wa siku kunakuwa na classes kati ya wenye nacho na wasio nacho. Na siku zote mwenye nacho anakua victim wa majina mabaya... tapeli, mwizi, fisadi, mshirikina nk nk.
Trust me, huyo jamaa niliyemjibu kuhusu $3000, sikumbuki nilimjibu lini... lkn hata yeye kama yupo online aje hapa JF aseme kwa kinywa chake -- alinitumia PM same day, lkn hadi leo sijamjibu hiyo PM yake.
Unaweza kuona $3000 kwako ni kubwa, yakufaa kumtapeli mtu. Lkn Kuna wengine tunaofahafamu real sweat, hatuwezi sogelea hata $1 ya mtu. Kwangu hiyo pesa ni peanut sana.
....
That's true boss. I'm easy to work with all Εhit, not a pushover, i never get disappointed, neither do I panic, but I respond to criticism and find it inspiring. You know at times, remaining silent while someone throws cr*p, it conflicts with your silence, so it's a good idea rising up from sleep and say 'shut your fvcking mouth up' to all naysayers.Achana kubishana na watu wenye maono madogo wataku dissapoint tu.. Wewe fanya mambo yako. Anayesema haiwezekani achana naye watakupotezea tu muda hao ndo maadui wakubwa wa maendeleo. One thing unajifunza kwenye maisha ya ujasiriamali ni how to ignore such people. Napenda approach ya dogo mmoja anaitwa Makirita Amani. Wala huwa hawajibu kabisa...Na usipowajibu they get confused more maana what they want is your attention. Kwa hiyo usipowapa wanasononeka.. Ukiwapa unakuwa umewapa ushindiππππ
Ngoja walizwe maana hawasikii, wameshadanganywa na hizi stor za kusadikika, wataanza kupigwa hela kwa njia nyingine et wapewe mbinu, mm nasena ACHA WALIWE MAANA WAJINGA NDIO WALIWAOMkuu mie nachungulia tuu kwa mbali jinsi watu watakavyo liwa....tayari mtu kaambiwa aandae $3000......
Sasa unaendelea kumtumia ya nini kama unajua hajibu?Naomba nideclare wazi mkuu ONTARIO hajanijibu pm yangu licha ya kumtumia pm mbili
Na saivi ngoja nimtumie ya tatu yenye heading ya USD 3000
Aliahidi kunijibu thats why naendelea kutuma pm...na najua anaface changamoto ya pm nyingi...kumbuka atafutaye hachokiSasa unaendelea kumtumia ya nini kama unajua hajibu?