Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8

Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8

Boss, I think this is the most touching feedback tangu nimepost hii thread. Na tayari nilishafunga uzi, nikasema sitajibu post yoyote hapa. Nimefurahi kua huu uzi umebadili watu japo kuna wachache walijaribu kuniattach.

Samahani nimechelewa kujibu, apparently nipo SA kwa wiki ya 3 sasa, and I've been moving here and there, Jozi, Pretoria, Rustenburg, Durban yani sijasettle.

Please! Kama unataka kubadili maisha yako, tenga $3000. Ingia kwa FOREX, but watch out usiingie mzima mzima. Knowledge and skills is the 1st thing you need to invest into, narudi Bongo katikati ya huu mwezi. Please send me a PM (utakua the 1st person nakujibu PM), ntakusaidia kudouble $3000 ndani ya week 2.

Cheers

Mkuu ONTARIO
Thanks very much...
Nilishakupm

I appreciate
 
UTAPELI HUU

Unadanganya watu tu,
Kama umemaliza chuo 2016 nwez wa 8 , tena kozi ya miaka minne ya OIL AND GAS

ina maana wewe chuo umeanza mwaka 2012

Na hapo hapo unadai Ulienda JKT baada ya form 6.

Wewe ni muongo na tapeli

Program ya kwenda jkt imeanza kwa form 6 waliomaliza 2013.

Hivo mpaka hapo hii ni story ya kutunga yenye malengo binafsi.

Kwa maelezo yako kipindi ukiwa COET umezunguka sana nchi nyingi, umefanya biashara na semina,

Kwa maelezo hayo ,tu COET ungedisco au usingemaliza chuo.

NARUDIA WEWE NI TAPELI MKUBWA

ngoja niishie hapa kabla sijakuumbua zaidi
Mkuu mie nachungulia tuu kwa mbali jinsi watu watakavyo liwa....tayari mtu kaambiwa aandae $3000......
 
Tafuta pesa mkuu, usiweke chuki kwa wengine wanaotafuta. Huu uzi una views 52000+, sema ni nani nimemtapeli - taja mtu mmoja tu. Nimepokea PM zaidi ya 200, sijajibu hata 1 - sio kwamba sizioni.

I'm not a big fan of mediocres, boss bora kuuliza kitu kuliko kujifanya unajua kila kitu. Ndio Nimemaliza chuo, UDSM mwaka 2016, course ya Gesi na mafuta (Petroleum Chemistry). Kwa kua wewe ni kilaza huwezi kutofautisha Pet. Chem na Pet. Eng.

Jeshi nimeenda 2013 JKT Kanembwa - KJ 824, intake ya kwanza 'operation miaka 50 ya JKT'.

Boss! Sikusoma CoET, na hata ningesoma CoET bado nisingedisco kwa vyovyote vile. My level of intelligence is untouchable, sio kwa kujisifu, but kwa hali niliyopitia chuo kama ingekua ni kilaza kama wewe, ungedisco semester ya 1.

Boss mimi hua naamini kua, kila binadamu aliumbwa na kiwango fulani cha upvmbavu, lkn kuna wengine wanajivunia huo upvmbavu hadi kuamua kuuonesha mbele za watu. You must not misuse your stupidity bruh.

Work hard, pray often, slay forever.
 
UTAPELI HUU

Unadanganya watu tu,
Kama umemaliza chuo 2016 nwez wa 8 , tena kozi ya miaka minne ya OIL AND GAS

ina maana wewe chuo umeanza mwaka 2012

Na hapo hapo unadai Ulienda JKT baada ya form 6.

Wewe ni muongo na tapeli

Program ya kwenda jkt imeanza kwa form 6 waliomaliza 2013.

Hivo mpaka hapo hii ni story ya kutunga yenye malengo binafsi.

Kwa maelezo yako kipindi ukiwa COET umezunguka sana nchi nyingi, umefanya biashara na semina,

Kwa maelezo hayo ,tu COET ungedisco au usingemaliza chuo.

NARUDIA WEWE NI TAPELI MKUBWA

ngoja niishie hapa kabla sijakuumbua zaidi
What he says ni true. Nafikiri wewe humfahamu. Ila tunaomfahamu tunajua ni kweli ndo maana kwenye uzi amesema tusiitoe identity yake halisi sababu anajua wapo wengi wanaomfahamu...Kuna award fulani alishinda katika mambo ya biashara zake na alikuwa anazunguka sana.. Ila ishu alikuwa ana balance vipi na shule yeye ndo atatueleza ila nafahamu alikuwa anasafiri sana kipindi bado anasoma mwaka jana. Na ameshawahi ku appear kwenye magazeti na maefanya interview kwenye radio stations...Mwenyewe ndo anaweza kutoa identity yake lakini mimi sintoweza kuishare...Ni kijana mdogo lakini ana mawazo makubwa ya ujasiriamali. Kwa hiyo tusipende tu kuongea vitu tusivyokuwa na uhakika navyo hasa kwa mtu ambaye humjui. Wapo vijana wanafanya mambo makubwa ila inabidi uwe na exposure kuwafahamu. Ni mara kumi ukakakaa kimya sababu unatumia akili ndogo zaidi katika kujaribu kuwaelewa watu wenye akili kubwa. Inabidi uwe mfuatiliaji wa mambo ya entrepreneurship kwa Tanzania ili ujue ni vijana gani wana make headlines kwenye entrepreneurship na wanaonyesha dalili za kuja kuwa wafanyabiashara wakubwa kwa baadaye..
 
Mkuu mie nachungulia tuu kwa mbali jinsi watu watakavyo liwa....tayari mtu kaambiwa aandae $3000......

Vitu km hivi ukinyamaza vinabadilika na kuonekana ni kweli. Acha nikujibu kiufupi.

Boss mimi ni mtu mmoja ambae nninaEmbrace sana 'diversity'. Nakubaliana na fact kua Mungu alituumba kila mtu kwa namna yake tofauti, ndio maana wote tunaeza kua na opportunity sawa, lkn tukatofautiana kwenye kuExecute hizo opportunities. Na mwisho wa siku kunakuwa na classes kati ya wenye nacho na wasio nacho. Na siku zote mwenye nacho anakua victim wa majina mabaya... tapeli, mwizi, fisadi, mshirikina nk nk.

Trust me, huyo jamaa niliyemjibu kuhusu $3000, sikumbuki nilimjibu lini... lkn hata yeye kama yupo online aje hapa JF aseme kwa kinywa chake -- alinitumia PM same day, lkn hadi leo sijamjibu hiyo PM yake.

Unaweza kuona $3000 kwako ni kubwa, yakufaa kumtapeli mtu. Lkn Kuna wengine tunaofahafamu real sweat, hatuwezi sogelea hata $1 ya mtu. Kwangu hiyo pesa ni peanut sana.

Nikupe tu mfano mzuri. Sasa hivi nipo Midrand (Pretoria), SA. Nimepata taarifa kua sister angu kapata nafasi ya kugonga masters nje, na inabidi mimi kama mtoto wa kiume nichangie kwenye masuala ya ada nk nk. Nikaamua tu nichomoe $1000 kwenye account yangu, nianze kuzalisha pesa kwaajili ya sister. Jana (trh 12) pekee yake nimetengeneza $360, leo jmos na kesho j2 soko la dunia linafingwa. Lkn nakuhakikishia week ijayo by Ijumaa nitakua na $3000 faida ya kumtumia sister na nabaki na buku langu.

That's life. Hate it or love.
2401dd75f4863cce7aaab6ee923a2919.jpg
 
Boss mimi ni mtu mmoja ambae nninaEmbrace sana 'diversity'. Nakubaliana na fact kua Mungu alituumba kila mtu kwa namna yake tofauti, ndio maana wote tunaeza kua na opportunity sawa, lkn tukatofautiana kwenye kuExecute hizo opportunities. Na mwisho wa siku kunakuwa na classes kati ya wenye nacho na wasio nacho. Na siku zote mwenye nacho anakua victim wa majina mabaya... tapeli, mwizi, fisadi, mshirikina nk nk.

Trust me, huyo jamaa niliyemjibu kuhusu $3000, sikumbuki nilimjibu lini... lkn hata yeye kama yupo online aje hapa JF aseme kwa kinywa chake -- alinitumia PM same day, lkn hadi leo sijamjibu hiyo PM yake.

Unaweza kuona $3000 kwako ni kubwa, yakufaa kumtapeli mtu. Lkn Kuna wengine tunaofahafamu real sweat, hatuwezi sogelea hata $1 ya mtu. Kwangu hiyo pesa ni peanut sana.
....

Achana kubishana na watu wenye maono madogo wataku dissapoint tu.. Wewe fanya mambo yako. Anayesema haiwezekani achana naye watakupotezea tu muda hao ndo maadui wakubwa wa maendeleo. One thing unajifunza kwenye maisha ya ujasiriamali ni how to ignore such people. Napenda approach ya dogo mmoja anaitwa Makirita Amani. Wala huwa hawajibu kabisa...Na usipowajibu they get confused more maana what they want is your attention. Kwa hiyo usipowapa wanasononeka.. Ukiwapa unakuwa umewapa ushindi😀😀😀😀
 
That's true boss. I'm easy to work with all śhit, not a pushover, i never get disappointed, neither do I panic, but I respond to criticism and find it inspiring. You know at times, remaining silent while someone throws cr*p, it conflicts with your silence, so it's a good idea rising up from sleep and say 'shut your fvcking mouth up' to all naysayers.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
WAJINGA NDIO WALIWAO

ENDELEA KUWATAPELI MAANA KILA SIKU WATU HAWAJIFUNZI

NIMEPENDA NJIA YAKO YA KUTAPELI , UMEJITOFAUTISHA SANA NA MATAPELI WENGI WA HUMU
 
Mkuu mie nachungulia tuu kwa mbali jinsi watu watakavyo liwa....tayari mtu kaambiwa aandae $3000......
Ngoja walizwe maana hawasikii, wameshadanganywa na hizi stor za kusadikika, wataanza kupigwa hela kwa njia nyingine et wapewe mbinu, mm nasena ACHA WALIWE MAANA WAJINGA NDIO WALIWAO

kuna mdau humu kamuuomba huyu mtoa uzi aweke bank statement ya hizo hela, Jamaa kafura kajaa mapovu.
 
Naomba nideclare wazi mkuu ONTARIO hajanijibu pm yangu licha ya kumtumia pm mbili

Na saivi ngoja nimtumie ya tatu yenye heading ya USD 3000
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Infact ONTARIO ameniinspire sana kiwango cha mpaka dakika hii tayari nimeshaingia kwenye biashara ya mazao kwa ujasiri mkubwa bila kujali changamoto zilizopo.

Namchukulia kama role model hata kama hatujuani

Kila nikiwaza habari aliyotusimulia very detailed jinsi ambavyo amekuwa akipambana, sifikirii kukata tamaa.

Na nilitamani kuanzisha uzi wa kumshukuru kwa kuniinspire kufanya kitu ambacho kimenishinda miaka mingi kuanza kwa kujipa several excuse..
Lakini one day I will be back kuelezea results
 
Back
Top Bottom