Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8

Okay sawa mkuu pigana........najua umeanza kuyafanya hayo kwa sababu una nilioni kadhaa mkononi..........pigana mkuu utatupa mrejesho!!
 
Hii kitu inalipa sana hiii
 
Mkuu ONTARIO kuna mdau kaanzisha kundi kwa ajili ya kupeana uzoefu juu ya Forex,ninaomba utujoini kama hutojali hata kwa muda mfupi tu utupe uzoefu hata namna ya kufanya biashara ya Forex........
Weka link Mkuu
 
Ontario nashauri ujiweke wazi uwe kama Strive Masiyiwa Bilionea yupo kule fb anatusaidia sana kwa maandishi kama haya yako
Kumbe tunaonfuatilia Strive tuko wengi, safi hiyo! [emoji122]
 
Huu uzi uko poa kwa ajili ya motivation lakini ID fake ni changamoto kubwa mno hapa JF, mtu mmoja anakomenti, anajijibu na kujipongeza mwenyewe kwa kutumia ID zaidi ya moja.

Au mtu anaweza kutengeneza network yake ya kujipongeza kwa interest zake mwenyewe.

Umuhimu ni kuwa makini,tafuta njia sahihi ya kujiridhisha juu unalohofia bila kumlazimisha muhusika ku-disclose ID yake, usimkashifu mtu ila tafuta njia salama ya kujiridhisha kwa yale yaliyowasiliswa katika public hii..
 
Unaweza kuwa uko sahihi kw kias flan chakii, muhimu ni kuwa makini na kutumia hekima kujiridhirisha kw kile unachokisoma ktk michango ya wadau. Binafsi nmetiwa moyo sana na huu uzi na nmepata hamasa ya kufanya nlichokuwa nawaza kufanya kw kuona kwmb kumbe ukitia bidii mafanikio yapo. Tuzidi kueleimishana!
 
Huyu jamaa ni kweli anayoyasema ila anapenda kuonekana mdogo hiyo yote ametwist ili kuendana na umri wa miaka 23 anayoitaka ila Kiukweli yupo above 25 believe me thank you.
 
Mkuu mie nachungulia tuu kwa mbali jinsi watu watakavyo liwa....tayari mtu kaambiwa aandae $3000......
Yeah, actually he's in Pretoria currently so he ordered the man to prepare that money already enough to be doubled in less than two weeks believe me thank you.
 
Huyu jamaa ni kweli anayoyasema ila anapenda kuonekana mdogo hiyo yote ametwist ili kuendana na umri wa miaka 23 anayoitaka ila Kiukweli yupo above 25 believe me thank you.
You know him....?
 
Naomba nideclare wazi mkuu ONTARIO hajanijibu pm yangu licha ya kumtumia pm mbili

Na saivi ngoja nimtumie ya tatu yenye heading ya USD 3000
Why don't you send the real money for effective response, those are just words and actually are hopeless.
 
Safi sana mkuu the man is the real revolutionary
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…