Okay dada kila la heri,afadhali yako wewe uliahidiwa kujibiwaAliahidi kunijibu thats why naendelea kutuma pm...na najua anaface changamoto ya pm nyingi...kumbuka atafutaye hachoki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay dada kila la heri,afadhali yako wewe uliahidiwa kujibiwaAliahidi kunijibu thats why naendelea kutuma pm...na najua anaface changamoto ya pm nyingi...kumbuka atafutaye hachoki
Okay sawa mkuu pigana........najua umeanza kuyafanya hayo kwa sababu una nilioni kadhaa mkononi..........pigana mkuu utatupa mrejesho!!Infact ONTARIO ameniinspire sana kiwango cha mpaka dakika hii tayari nimeshaingia kwenye biashara ya mazao kwa ujasiri mkubwa bila kujali changamoto zilizopo.
Namchukulia kama role model hata kama hatujuani
Kila nikiwaza habari aliyotusimulia very detailed jinsi ambavyo amekuwa akipambana, sifikirii kukata tamaa.
Na nilitamani kuanzisha uzi wa kumshukuru kwa kuniinspire kufanya kitu ambacho kimenishinda miaka mingi kuanza kwa kujipa several excuse..
Lakini one day I will be back kuelezea results
Hii kitu inalipa sana hiiiVitu km hivi ukinyamaza vinabadilika na kuonekana ni kweli. Acha nikujibu kiufupi.
Boss mimi ni mtu mmoja ambae nninaEmbrace sana 'diversity'. Nakubaliana na fact kua Mungu alituumba kila mtu kwa namna yake tofauti, ndio maana wote tunaeza kua na opportunity sawa, lkn tukatofautiana kwenye kuExecute hizo opportunities. Na mwisho wa siku kunakuwa na classes kati ya wenye nacho na wasio nacho. Na siku zote mwenye nacho anakua victim wa majina mabaya... tapeli, mwizi, fisadi, mshirikina nk nk.
Trust me, huyo jamaa niliyemjibu kuhusu $3000, sikumbuki nilimjibu lini... lkn hata yeye kama yupo online aje hapa JF aseme kwa kinywa chake -- alinitumia PM same day, lkn hadi leo sijamjibu hiyo PM yake.
Unaweza kuona $3000 kwako ni kubwa, yakufaa kumtapeli mtu. Lkn Kuna wengine tunaofahafamu real sweat, hatuwezi sogelea hata $1 ya mtu. Kwangu hiyo pesa ni peanut sana.
Nikupe tu mfano mzuri. Sasa hivi nipo Midrand (Pretoria), SA. Nimepata taarifa kua sister angu kapata nafasi ya kugonga masters nje, na inabidi mimi kama mtoto wa kiume nichangie kwenye masuala ya ada nk nk. Nikaamua tu nichomoe $1000 kwenye account yangu, nianze kuzalisha pesa kwaajili ya sister. Jana (trh 12) pekee yake nimetengeneza $360, leo jmos na kesho j2 soko la dunia linafingwa. Lkn nakuhakikishia week ijayo by Ijumaa nitakua na $3000 faida ya kumtumia sister na nabaki na buku langu.
That's life. Hate it or love.![]()
Hii kitu inalipa sana hiii
Ongea na Ontario ndo teacher.. afu kuna jamAa ka share link ya GROUPKama inalipa tuelekeze na ss pia tunataka kufanikiwa
Niliweka link humu sijajua imeenda wapiWeka link Mkuu
Hiyo avatar yako mkuu [emoji25]duh! naapa lazima nitoboe kuanzia hapa
Kumbe tunaonfuatilia Strive tuko wengi, safi hiyo! [emoji122]Ontario nashauri ujiweke wazi uwe kama Strive Masiyiwa Bilionea yupo kule fb anatusaidia sana kwa maandishi kama haya yako
Iweke mkuu link ya GROUP hiyo FOREX TRADING BUSINESSNiliweka link humu sijajua imeenda wapi
Hawa brokers ntawapataje mkuu?Nahisi ulimaanisha broker... natumia brokers wawili tofauti XM pamoja na JPmarket. Kama ulimaanisha App niseme natumia MT4.
Unaweza kuwa uko sahihi kw kias flan chakii, muhimu ni kuwa makini na kutumia hekima kujiridhirisha kw kile unachokisoma ktk michango ya wadau. Binafsi nmetiwa moyo sana na huu uzi na nmepata hamasa ya kufanya nlichokuwa nawaza kufanya kw kuona kwmb kumbe ukitia bidii mafanikio yapo. Tuzidi kueleimishana!Huu uzi uko poa kwa ajili ya motivation lakini ID fake ni changamoto kubwa mno hapa JF, mtu mmoja anakomenti, anajijibu na kujipongeza mwenyewe kwa kutumia ID zaidi ya moja.
Umuhimu ni kuwa makini, usimkashifu mtu ila tafuta njia salama ya kujiridhisha kwa yale yaliyowasiliswa katika public hii..
Huyu jamaa ni kweli anayoyasema ila anapenda kuonekana mdogo hiyo yote ametwist ili kuendana na umri wa miaka 23 anayoitaka ila Kiukweli yupo above 25 believe me thank you.UTAPELI HUU
Unadanganya watu tu,
Kama umemaliza chuo 2016 nwez wa 8 , tena kozi ya miaka minne ya OIL AND GAS
ina maana wewe chuo umeanza mwaka 2012
Na hapo hapo unadai Ulienda JKT baada ya form 6.
Wewe ni muongo na tapeli
Program ya kwenda jkt imeanza kwa form 6 waliomaliza 2013.
Hivo mpaka hapo hii ni story ya kutunga yenye malengo binafsi.
Kwa maelezo yako kipindi ukiwa COET umezunguka sana nchi nyingi, umefanya biashara na semina,
Kwa maelezo hayo ,tu COET ungedisco au usingemaliza chuo.
NARUDIA WEWE NI TAPELI MKUBWA
ngoja niishie hapa kabla sijakuumbua zaidi
Yeah, actually he's in Pretoria currently so he ordered the man to prepare that money already enough to be doubled in less than two weeks believe me thank you.Mkuu mie nachungulia tuu kwa mbali jinsi watu watakavyo liwa....tayari mtu kaambiwa aandae $3000......
You know him....?Huyu jamaa ni kweli anayoyasema ila anapenda kuonekana mdogo hiyo yote ametwist ili kuendana na umri wa miaka 23 anayoitaka ila Kiukweli yupo above 25 believe me thank you.
Safi sana mkuu the man is the real revolutionaryInfact ONTARIO ameniinspire sana kiwango cha mpaka dakika hii tayari nimeshaingia kwenye biashara ya mazao kwa ujasiri mkubwa bila kujali changamoto zilizopo.
Namchukulia kama role model hata kama hatujuani
Kila nikiwaza habari aliyotusimulia very detailed jinsi ambavyo amekuwa akipambana, sifikirii kukata tamaa.
Na nilitamani kuanzisha uzi wa kumshukuru kwa kuniinspire kufanya kitu ambacho kimenishinda miaka mingi kuanza kwa kujipa several excuse..
Lakini one day I will be back kuelezea results
Sijakuelewa mkuuWhy don't you send the real money for effective response, those are just words and actually are hopeless.
How can I help please?Sijakuelewa mkuu