Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8

Nathubutu kusema tangu mwaka 2017 umeanza huu ndio uzi bora kabisaa kuwahi kuandikwa hapa JF

Endapo tukisoma na kuyafanyia kazi yaliyoandikwa kwenye hii thread nina uhakika tutaweza kusogea hatua moja mbele kimaendeleo
Bado una imani na huyu bwana mkuu?
 
Kuna Watu wa ajabu saana, sasa hapa utapeli uko wapii??? Mtu amekuambia hajibu DM wala kutoa mawasiliano ya Aina yoyote, afu Bado unasema kuna utapeli...... Kama humjui vizuri ONTARIO ni bora kusoma Kimya Kimya!!
Sasa ajibu pm akose vichwa?


Vipi bado unamkingia kifua?
 
Mkuu Onesha Utapeli wake?? Amekutapeli nini? Kamshtaki Sasa? Mbona Instagram anajiweka wazi tu na Namba Yake Simu inajulikana ndugu Na sioni malalamiko yoyote..labda useme kua Jamaa Ni Akili kubwa saana
Kushindwa kumshtaki haiondoi dosari yake
 
mkuu maswala ya kifedha yanahitajia akili nyingi ka wewee ulijiingizza tuu lazima ulie. mbona wapo walotusua na leo wanampa pongezi?
Ni kweli you need to be street smart na sio just naturally smart. Wanotisua wanakuwepo wachache na hao ndio wanakuwa kama ni chambo, lakini wengi wao hulizwa.

Kama hiyo biashara ina faida ya uhakika kiasi hicho basi muhusika mkuu angekaa kimya na kuwaingiza familia yake yote kwa kuuza assets zao zote mpaka nyumba zao na kuishi nyumba za kupanga kwa muda wa nwaka mmoja. Baada ya mwaka mmoja wataporomosha maghorofa yao. Its that simple.ku realize kwamba hii ni scam. Nasema tena, wako wachache wanaotisuwa ambao huwa ni chambo lakini wengi wao hulizwa. As they say, " if a deal is too good to be true, then it is". As simple as that.
 
Wewe jamaa huna akili FOREX uishirikishe familia kweli wasomi wakubwa tu maGuru wamepasua mathematics, physics nk ila ni biashara ngumu kwao alafu wewe unasema ashirikishe familia yake...mama aliyeishia darasa la saba kweli atafanya nini kwenye FOREX IDIOT.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonesha una hasira za kuliwa!.Kwani hao watu aliokuwa anawapata humu JF ndio wasomi?

Inaonesha ufahamu wako ni mdogo kama kibamia chako. Soma.makala yangu uifahamu ndio uanze kiherehere cha ku comment, pumbavu kubwa wewe!
 
Hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…