Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Acha tuHuyu jamaa si niliskia alikua anatafuta kiki ili awaingize mjini na mkaingia kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha tuHuyu jamaa si niliskia alikua anatafuta kiki ili awaingize mjini na mkaingia kweli?
Nakuelewa sana mkuu, wajinga kama hawo ndio wanafukuza vichwa kila siku viondike jukwaani.Je ulitegemea jibu la namna gani?
Je hakuna ulichojifunza kwenye hili bandiko kweli?
Our services:Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.
Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.
Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura,kitambulisho cha Taifa, Leseni ya Udereva au kitambulisho chochote kinachotambulika na mamlaka husika, namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker pamoja na E-mail.
Ni broker pekee ambae anayekuwezesha kuweka kiasi kidogo kuanzia dollar ($) 1 kwenye akaunti yako ,pia vilevile ana huduma ya haraka sana wakati wa kutoa pesa yako, dakika 15-30 tiyari pesa inakuwa imeshatumwa kwenye account yako.
BAADA YA KUJISAJILI
Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.
JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.
Templer FX Trader
Sent from my Iphone using Tapatalk
mkuu kwenye haya ni sisi wenyewe tunayapa nguvu unafikiri mtu akiwa anakosa wafuasi unadhani kunakitakachoendeleaaaa? mie huwa nasema kilamtu kajichagulia namna ya masiha yake ka mtu wa umbea atawatafuta wambea wenzie wafanye yao ka mtu wa ujasiriamali na biashara atawatafuta walio wakeJe nini kifanyike ili kuwasaidia wana JF wengine??? na kizazi hiki cha mitandao ya kijamii
Maana imekuwa ni kawaida kwa walio wengi kumfuatilia mfano Mange kwenye mitandao ya kijamii na ni nadra sana tena sana kumfutiali Prof. fulani ya UDSM (Wanataaluma) au Ndugu R. Mengi (Wafanyabiashar/ wajasiriamali) au hata viongozi wa Dini kwenye mitandao ya kijamii!
Duu iyo mistari ya mwisho nimeirudia kama Mara 5 sijaelewa.Usiende na wewe ukakodisha trekta ukifikiri utaweza kufanya kama Ontario. Inategemea mambo mengi sana kufanikiwa na trekta. Nimekuwa nayo mawili mapya kuna changamoto nyingi na wakati mwingine unaweza kuweka juu ya mawe kwa kukosa wateja au wakati uharibifu mkubwa unapotokea.
Inawezekana aliwapeleka kwenye fursa ambayo hata yeye hakuwa anaifahamu vyema...Sijui tumelogwa na nani..
Kuna watu ambao hata hawamfahamu huyu dogo lakini utakuta wanaandika HUYU TAPELI ameliza watu Ukimuuliza ametapeliwaje hawezi kukueleza anabaki kusema niliona watu wakisema kwenye uzi wake fulani.. Tujifunze kuwa wakweli watapeliwe watu zaidi ya 1000 halafu asitokee hata mmoja anayeweza kumfungulia mashtaka mtu ambaye yupo anaendelea na shughuli zake tu?
niwaulize mliotapeliwa Ikitokea nimeona fursa mahali then nikutonye twende tukaichangamkie kwa bahati mbaya tusipate faida kama ilivyotarajiwa na tujikute tunapata hasara, Itakua mimi nimekutapeli??
Binafsi nimekaa nae sana namfahamu zaidi ya hapa JF na hata hiyo hasara mimi pia nilipata coz tulifanya pamoja na yeye na kwa taarifa tu alipoteza hela nyingi zaidi ya mnavyoweza kudhani..
Neno moja tu ambalo naweza kumsemea n FIGHTER ukisoma baadhi nyuzi zake pia utalijua hilo hata kama haumfahamu.
Inawezekana aliwapeleka kwenye fursa ambayo hata yeye hakuwa anaifahamu vyema...
Achana nao utaumiza kichwa mzee, hats mimi nishaitwa taperi humu kuna boya mmoja alitaka kunizoea nikampa onyo nitamchukulia sheria husika namba take ninayo akanyama sikumuona tena.Ikiwa ndivyo ni utapeli huo?