Lexus SUV
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 4,493
- 5,591
Mfuatilie Instagram ayupo tena humu, jifunze kufuatilia yaliyopita
ANATUMIA JINA GANI HUKO INSTAGRAM?????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfuatilie Instagram ayupo tena humu, jifunze kufuatilia yaliyopita
Sir Jeff dennisANATUMIA JINA GANI HUKO INSTAGRAM?????
Hapana pamoja na kutafuta kiki lkn ameinvent kitu kikubwa sana kwa wabongo, wengi hatukuwa tunaifahamu Forex lkn baada ya jamaa kuizungumzia kila kitu kipo open now na wengi wananufaika ingawa wapo waliokula za uso piaHuyu jamaa si niliskia alikua anatafuta kiki ili awaingize mjini na mkaingia kweli?
SirJeff DenisSir Jeff dennis
pos mkuu tayari nmemchekiSir Jeff dennis
Wanafanyia kazi kile walichojifunza
Je ulitegemea jibu la namna gani?
wanaweza sahau mazuri yote waliyojifunza kwa kosa moja!..Je ulitegemea jibu la namna gani?
Je hakuna ulichojifunza kwenye hili bandiko kweli?
soon naamini watu watakuja na mirejeshowanaweza sahau mazuri yote waliyojifunza kwa kosa moja!..
Hata sasa,
Nakubaliana uku napingana na weweHata sasa,
Inategemea ni jukwaa lipi unapenda kutembelea.
Je nini kifanyike ili kuwasaidia wana JF wengine??? na kizazi hiki cha mitandao ya kijamiiNyuzi za ushoga, ulevi na umbea, kukashifu dini sinaenda kasi ya 4g kuliko nyuzi za ujasiriamali, siasa na technology
Hili tatizo ni kubwa mkuu,Je nini kifanyike ili kuwasaidia wana JF wengine??? na kizazi hiki cha mitandao ya kijamii
Maana imekuwa ni kawaida kwa walio wengi kumfuatilia mfano Mange kwenye mitandao ya kijamii na ni nadra sana tena sana kumfutiali Prof. fulani ya UDSM (Wanataaluma) au Ndugu R. Mengi (Wafanyabiashar/ wajasiriamali) au hata viongozi wa Dini kwenye mitandao ya kijamii!