Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8

Safi sana mkuu...
 
Mpaka hapo nshakuona
Humjui sirjeff wewe
 
[emoji23] pole sana
pole wewe maskini unayejilinganisha kama alikupga ni upumbavu wako, waulize kina clinton jamaa kawatoa wapi? Na kipindi kile mo dewji akafika ofisini kwake, wana launch brokerage mpaka vunja bei yupo, 😂😂 kama ni mwizi alikuibia pole ndugu , dogo tunamjua tangu jeshini gomz kwao walokole
 
Dah utoto raha sana
 
Jeff Yuko ahead, hats off to him
 
Jeff Yuko ahead, hats off to him
Mkuu Jeff hata kama alipiga watu yule jamaa yupo smart sana, kuna jamaa alikuwa anatuonyesha uwekezaji wake yeye alikuwa anafanya nae kazi asee jamaa ni extraordinary , yule jamaa yupo kampuni inasafirisha hii miti ya mikaratusi na magogo mengine yanapelekwa. Kwenye migodi baada ya kuvunwa.
 
sawa ONTARIO naona unajipaisha mwenyewe
huo muda hana sahiv alishapiga watu pesa anashinda South Africa kila weekend, unadhan Mkuu watu wenye pesa wana muda wakukaa hapa kujibizana? Mimi sitaki kujua aliwapiga au laah ukweli ni kwamba kwa vijana wa umri wake yupo level kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…