Ulichosema ni kweli ndugu.Ontario ila kwa level na uelewa wako bana sidhan kama njia ya kupima shamba kwa hatua ni sahihi kwako maana haupati kitu sahihi.
Labda kama ni umetumia akili ya kazi ili uwe unalima mashamba ambayo hayafiki eka 1
Nashukuru sana kiongozi. Tuko pa1 sana boss wangu.Dah!!! Kama hata na mie nshaanza kumfahamu huyu jamaa kuna article kuhusu yeye pia nilishawahigi kusoma kwenye gazeti fulani. Inahusiana na issue hiyo hiyo ya Kuku... Hongera sana Ontario
Hahahaa (nacheka kama vile ni mazuri).mmmhh Morogoro kuna ndugu yangu alikuwa na trekta sio la kuazima..la kwake mwenyewe biashara ikamshinda mpaka akaliuza
Dah!!! Kama hata na mie nshaanza kumfahamu huyu jamaa kuna article kuhusu yeye pia nilishawahigi kusoma kwenye gazeti fulani. Inahusiana na issue hiyo hiyo ya Kuku... Hongera sana Ontario
mwanafunzi wa chuo ukachaguliwa mjasiriamali bora wa Africa chini ya miaka 22....! hahahaha very interesting chuo chenyewe UDSM mnaoshinda pale Mlimani City na vismartphone vyenu ...hongera sana mkuu
hakuna inspirational speaker milionea....wote story zao ni za kusadikika....hiyo inspiration wanafanya kupata ela ya kulaYes mkuu ndo huyu, ni moja wa inspirational speaker wa bongo nnae mfaham na anatembea sana ma posta huko na mavyuon had kwene media kubwa kubwa hizi ku-inspire watu
The Man is gifted......afu ukimuona hivi uwezi amini kama jamaa ndo ashakua millionare.
mi mwenyewe nimeshangaa hiyo award mbona sijawahi kuisikia? mjasiriamali bora chini ya miaka 22..? halafu mwanachuo..? na asijulikane kabisa? mbona wajasiriamali vijana waliopata award akina Ngowi na MO walitangazwa sana? hahahah..very interestingmwanafunzi wa chuo ashinde hiyo award media zisimpambe kweli.. clouds hawakujua nini kuhusu hiyo awards.. na wanasiasa wetu
Hizi ndizo thread za kusoma,ku subscribe na kuzishobokea, na sio upupu wa sijuwi Cloudsfm, Mange, ushirikina, utapeli, freemason, uzinzi n.k.Salute!.
Mmhhh mnanifikirisha aisee.......mi mwenyewe nimeshangaa hiyo award mbona sijawahi kuisikia? mjasiriamali bora chini ya miaka 22..? halafu mwanachuo..? na asijulikane kabisa? mbona wajasiriamali vijana waliopata award akina Ngowi na MO walitangazwa sana? hahahah..very interesting
Dah, ila hii dunia kweli ina kila aina ya watu. Sasa wewe hapo umeona uongo tu, hakuna kingine chochote kizuri ulichojifunza???
Basi hebu tupe ya kwako ya ukweli angalau nasi tujifunze au tuhamasike toka kwako ndugu..
Pathetic!!
mi mwenyewe nimeshangaa hiyo award mbona sijawahi kuisikia? mjasiriamali bora chini ya miaka 22..? halafu mwanachuo..? na asijulikane kabisa? mbona wajasiriamali vijana waliopata award akina Ngowi na MO walitangazwa sana? hahahah..very interesting
Acha kuropoka.......i know the Man in person na nmesoma nae UDSM, haitoshi rum mate wangu wa HALL SIX MAIN CAMPUS amesoma nae advance afu akaenda nae JKT kambi flani hivi. So nna mjua vizur sana
Kama wewe huamini katika mafanikio kutokana na ukilaza wako na uzembe wako wa kufikiri, acha kupinga vitu usivovijua
Aise safi sana.umenifungua kweli.Mkuu kuvuta mzigo pesa yake ni nzuri kuliko kulima. Inategemea na umbali, gunia 1 huwa ni 4000-6000, na ukipata teller kubwa na tractor ya 4 WD, trip 1 unagonga gunia 50. Kwa siku katika hali ya kawaida unalaza chomba saa 12 ukiwa umegonga trip 3. Ukitaka kwenda beyond comfort zone ndio utapiga pesa si mchezo.