Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8

Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8

Ontario ila kwa level na uelewa wako bana sidhan kama njia ya kupima shamba kwa hatua ni sahihi kwako maana haupati kitu sahihi.

Labda kama ni umetumia akili ya kazi ili uwe unalima mashamba ambayo hayafiki eka 1
Ulichosema ni kweli ndugu.
 
mmmhh Morogoro kuna ndugu yangu alikuwa na trekta sio la kuazima..la kwake mwenyewe biashara ikamshinda mpaka akaliuza
Hahahaa (nacheka kama vile ni mazuri).

Kuna msemo mmoja wazungu husema "One man's poison is another man's food".

Kuwa na chombo ni jambo moja na kuwa na uwezo wa kukitumia chombo kuzalisha pesa ni jambo jingine.
 
mwanafunzi wa chuo ukachaguliwa mjasiriamali bora wa Africa chini ya miaka 22....! hahahaha very interesting chuo chenyewe UDSM mnaoshinda pale Mlimani City na vismartphone vyenu ...hongera sana mkuu
 
Dah!!! Kama hata na mie nshaanza kumfahamu huyu jamaa kuna article kuhusu yeye pia nilishawahigi kusoma kwenye gazeti fulani. Inahusiana na issue hiyo hiyo ya Kuku... Hongera sana Ontario

Yes mkuu ndo huyu, ni moja wa inspirational speaker wa bongo nnae mfaham na anatembea sana ma posta huko na mavyuon had kwene media kubwa kubwa hizi ku-inspire watu

The Man is gifted......afu ukimuona hivi uwezi amini kama jamaa ndo ashakua millionare.
 
mwanafunzi wa chuo ashinde hiyo award media zisimpambe kweli.. clouds hawakujua nini kuhusu hiyo awards.. na wanasiasa wetu

mwanafunzi wa chuo ukachaguliwa mjasiriamali bora wa Africa chini ya miaka 22....! hahahaha very interesting chuo chenyewe UDSM mnaoshinda pale Mlimani City na vismartphone vyenu ...hongera sana mkuu
 
Yes mkuu ndo huyu, ni moja wa inspirational speaker wa bongo nnae mfaham na anatembea sana ma posta huko na mavyuon had kwene media kubwa kubwa hizi ku-inspire watu

The Man is gifted......afu ukimuona hivi uwezi amini kama jamaa ndo ashakua millionare.
hakuna inspirational speaker milionea....wote story zao ni za kusadikika....hiyo inspiration wanafanya kupata ela ya kula
 
mwanafunzi wa chuo ashinde hiyo award media zisimpambe kweli.. clouds hawakujua nini kuhusu hiyo awards.. na wanasiasa wetu
mi mwenyewe nimeshangaa hiyo award mbona sijawahi kuisikia? mjasiriamali bora chini ya miaka 22..? halafu mwanachuo..? na asijulikane kabisa? mbona wajasiriamali vijana waliopata award akina Ngowi na MO walitangazwa sana? hahahah..very interesting
 
Mmhhh mnanifikirisha aisee.......
 
Dah, ila hii dunia kweli ina kila aina ya watu. Sasa wewe hapo umeona uongo tu, hakuna kingine chochote kizuri ulichojifunza???
Basi hebu tupe ya kwako ya ukweli angalau nasi tujifunze au tuhamasike toka kwako ndugu..
Pathetic!!

Asante kwa muongozo. Mkuu
 
Hizi ndo mada zinanifanyaga nikeshe jf...hongera dogo ,23......sio kitoto... Maana kuna watu wana 28 wanadeka kwao.
 
mi mwenyewe nimeshangaa hiyo award mbona sijawahi kuisikia? mjasiriamali bora chini ya miaka 22..? halafu mwanachuo..? na asijulikane kabisa? mbona wajasiriamali vijana waliopata award akina Ngowi na MO walitangazwa sana? hahahah..very interesting

Hajulikan kwako.....watu wanamjua na they make good use of him
 
Mkuu elim yk nakili imekuwa ya msingi sana kwangu. Hususan kwa wakati huu niliopo. I wish to learn more frm u coz i plan soon to be economic hunter without any experience. The only things i have is challenges but i devide not to fear them, but to walk out of them with a winning altitude. Nipo tayali kujifunza toka kwako mkuu!!
 
Hongera sana kaka na asante kwa madini. Darasa limeeleweka barabara.

Acha nikawajibike.
 
Nimekuelewa sana mzee wa kakobe alafu mpaka sasa umetupiga vijana wengi 'woshi' . hili ni zaidi ya darsa sina uhakika ila nadhani tumewahi kukutana kijiwe fulani chenye kenice . God bless u . god bless us umetufungulia njia mkuu
 
Acha kuropoka.......i know the Man in person na nmesoma nae UDSM, haitoshi rum mate wangu wa HALL SIX MAIN CAMPUS amesoma nae advance afu akaenda nae JKT kambi flani hivi. So nna mjua vizur sana

Kama wewe huamini katika mafanikio kutokana na ukilaza wako na uzembe wako wa kufikiri, acha kupinga vitu usivovijua

Asante kwa hekima zako.
 
Mkuu kuvuta mzigo pesa yake ni nzuri kuliko kulima. Inategemea na umbali, gunia 1 huwa ni 4000-6000, na ukipata teller kubwa na tractor ya 4 WD, trip 1 unagonga gunia 50. Kwa siku katika hali ya kawaida unalaza chomba saa 12 ukiwa umegonga trip 3. Ukitaka kwenda beyond comfort zone ndio utapiga pesa si mchezo.
Aise safi sana.umenifungua kweli.
 
Back
Top Bottom