instagramer
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 215
- 492
Hivi huyu bilionea mwenye huu uzi aliishiaga wapi na ule mjengo wake alionunua Masaki, na gari yake ya RoliziRolizi Na Cadillac yake??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MhmhHivi huyu bilionea mwenye huu uzi aliishiaga wapi na ule mjengo wake alionunua Masaki, na gari yake ya RoliziRolizi Na Cadillac yake??
Kwahyo mkaliwaHuyu jamaa alitumia forum hii ya Maxcence Mello kuwatapeli watu na Bwana Max alimkalia kimya tu. "Alitukusanya wengi huyu mwamba enzi hizo 2017" Jamaa kichwa sana huyu dogo alikula hadi hela za wazee wastaafu. Aisee tapeli hana huruma
Hahahaha... RoliziRolizi nimecheka balaa😂Hivi huyu bilionea mwenye huu uzi aliishiaga wapi na ule mjengo wake alionunua Masaki, na gari yake ya RoliziRolizi Na Cadillac yake??
Walio tapeliwa ni wale wenye upeo mdogo wa akili na wenye kutaka kumiliki hela kwa shortcutNimemfatilia sana Sirjeff Deniss(ONTARIO) miaka ya 2016,2017,2018 nikiwa chuoni hadi miaka ya 2021 nilichokuja kugundua kwa huyu jamaa ni ana uwezo mkubwa sana wa akili(very very smart), Ni watu wachache sana wenye upeo mkubwa kifikra, kiakili, kimtazamo kiasi hicho na ndio maana ametumia hiyo kma advantage ya kuwatapeli wengi wao humu JF.
kwahiyo wazee wastafu walijua wata download hela?😄Huyu jamaa alitumia forum hii ya Maxcence Mello kuwatapeli watu na Bwana Max alimkalia kimya tu. "Alitukusanya wengi huyu mwamba enzi hizo 2017" Jamaa kichwa sana huyu dogo alikula hadi hela za wazee wastaafu. Aisee tapeli hana huruma
Kabisaaa...Walio tapeliwa ni wale wenye upeo mdogo wa akili na wenye kutaka kumiliki hela kwa shortcut
Mimi niliendaga training moja tu ya forex ktk maisha yangu, ya pale Jangid Plaza.Walio tapeliwa ni wale wenye upeo mdogo wa akili na wenye kutaka kumiliki hela kwa shortcut
Yupo kule Twitter (X) anawananga wana.The brain ONTARIO yuko wapi huyu.
Sir Jeff hukumaliza chuo wewe…
Nimemmiss sana humu huyu mtu, jamaa kwakweli ana akili nyingi sana na uelewa wa mambo na anapenda wengine waendelee sema watu tu wavivu wa kupambana tunataka kila kitu kifikishwe mwisho na wengine yaani tuwe wafaidika tu wa final results.Sir Jeff hukumaliza chuo wewe…